Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu wakisema jambo litatookea. Ni wkt muafaka. Magu alijaribu kujua upinzani. Mama anajua anafanyanini. Sasa wale walozi mpoo
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika watia nia wote haswa wa ubunge wote wanategemea mchujo kutoka Kwa wajumbe. Sasa naomba kuuliza hao wajumbe ni watu gani ni mabaloziywa nyumba Kumi au ?
1 Reactions
6 Replies
442 Views
Mubashara kutoka Ukumbi wa Chimwaga na kupitia hapa JF tunakuletea kinachojiri... Viongozi mbalimbali wa kitaifa wameshaingia kwenye ukumbi wa Chimwaga. Yupo Katibu Mkuu Kiongozi, Waziri wa...
28 Reactions
2K Replies
235K Views
Ungekuwa sio utendaji kazi nzuri wa mama yetu basi nchi mzima ingeamka kuanzia hapo ubungo kuelekea kokote kudai haki ,bahati iliyoje ni kwamba ccm inatekeleza ilani kwa kiwango Cha bulldozer...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Ndugu wana wa Tanzania. Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani wa Katika Halmashauri yako. Nafasi za Udiwani ni nafasi muhimu sana katika Maendeleo ya Halmashauri yako. Katika Uanzishaji na...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Kwa Waandishi waliopo Dar Es Salaam Leo kiasi cha Vijana 100 waliokuwa katika Kundi la 4U Movement wakimuunga mkono Edward Lowassa, Leo wanatangaza kujiengua CCM. Tukio hilo litafanyika...
4 Reactions
384 Replies
36K Views
Paul Christian Mzindakaya alitaka Jimbo la Sumbawanga Mjini alilowahi kuongoza Baba yake Christian Majiyatanga Mzindakaya kabla ya kupumzika Siasa.
0 Reactions
6 Replies
650 Views
Kada machachari wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Jamal Mangu, leo Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyang’hwale, lililopo wilayani...
0 Reactions
1 Replies
628 Views
CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi...
1 Reactions
2 Replies
359 Views
Mambo vp wakuu.. Kuna hili linaloendelea nchini la uchukuaji wa fomu za kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM.. Kwa sisi content creators tumeshtukia mchongo na tumegundua ni sehemu ya contents za...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Rose Fidelis Temu Kiongozi wa UVCCM kwa nafasi ya Katibu Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amechukua fomu yakuomba ridhaa yakugombea Ubunge Viti maalumu Kundi la Vijana. Soma...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Moja ya hotuba maarufu sana ya baba wa Taifa ilikuwa ni ile ya mwaka 1995 ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia nyufa za muungano. Katika kipindi cha Urais wa Samia tumesikia mambo mengi...
1 Reactions
12 Replies
564 Views
Emily Sanga ni miongoni mwa wagombea waliojitokeza katika Jimbo la Uyole na kuchukua fomu ya kugombea Ubunge.
0 Reactions
3 Replies
302 Views
Wakati Rais akihitimisha Bunge la 12 tarehe 27/06 kulikuwa na tukio ambalo binafsi lilinishtua! Hatua hii ni pale alipotambulishwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU ! Baada ya ya kutangwazwa kulikuwa...
1 Reactions
5 Replies
567 Views
Mnajifariji eti watafanya reforms kwa Julai hii na Agosti siku 2 ati. Urongo mtupu, kwa sasa ndani ya Julai, hela itapigwa hiyo asikuambie mtu. Mtaniambia!
3 Reactions
4 Replies
403 Views
https://www.facebook.com/share/1ECrkUXYWT/ Hii hotuba ya Hayati John P. Magufuli kuhusu utekaji na upoteaji wa watu inafikirisha sana.. Nimejiuliza swali moja, kwamba, hivi inawezekana mambo ya...
1 Reactions
0 Replies
262 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimezindua rasmi Operesheni MajiMaji, kampeni maalum inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda thamani ya kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Operesheni hiyo...
1 Reactions
17 Replies
739 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yasinta Kafulila amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini mkoani Kigoma. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge...
0 Reactions
10 Replies
883 Views
Hili angalizo nililitoa zamani tu kwa sababu Chadema na CCM ndio Vyama pekee vya Siasa nchini Ahsanteni sana Mlale unono 🇹🇿
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Nimeitaja CCM kwa sababu wengi wao uitumia CCM Kama Daraja kwa sababu awafatiliwi wakiwa CCM. Kuna watia Nia hasa ndani ya chama Cha mapinduzi wa ubunge na udiwani sio raia wa Tanzania Naomba...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…