Samia na ccm yako mumeamua kuziba masikio.

joseph2

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
668
Reaction score
1,387
Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba.
Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa.

Kibaya zaidi ugojwa huo hakuishia kwa Samia peke yake umesambaa kwa wateule wake wote. Hata wanachama wote wa ccm umewashambulia vibaya sana. Kutokana na ugojwa huo Wa akili ambao nitauita ukichaa wa madaraka.

Ukichaa wa madaraka ni mbaya kuliko ukichaa wa kuokota makopo. Kwasababu ukichaa wa madaraka hushambulia watu wengi kwa kipindi chote waadhirika wa ugojwa huo wanapo kuwa madarakani. Na baada ya hao vichaa wamadaraka wakitako madarakani huwa wanaacha familia zao kwenye matatizo maku bwa sana. Kwa mfano Hitler wa ugermani aliacha familia yake na wanachama wa chama chake cha The Nazi party wakiwindwa kama swala. Mfano mwingine ni Mbutu seseceko wa Zaire kwa sasa DRC watoto wake wanaishi kwa kujificha.

Sasa na Samia na ccm yake wanaelekea huko siku zao zinahesabika nawambia waendelee kuziba masikio . Ipo siku nitarudi hapa kuwakumbusha hili .
 
Sasa na Samia na ccm yake wanaelekea huko siku zao zinahesabika nawambia waendelee kuziba masikio . Ipo siku nitarudi hapa kuwakumbusha hili .📌🔨❗
 
Watu wameanza na mishale kwa wapanda baiskeli

Tukumbuke pia watu waliwahi kutembea na uniform kwenye mabegi walikuwa wanazivaa ndani mikutanoni tu

Ilikuwa marufuku kukatisha Kariakoo na gwanda
Muda ni Mwalimu

Hatuombei hayo yajirudie sote ni ndugu CCM isituingize huko kwa uroho wa madaraka
 
View attachment 3387638

Siasa ni discipline sio uropokaji, uwezi kuongea siada kama huna ata fundamental knowledge.

View attachment 3387639

Siasa ina tafsiri nyingi; na kila tafsiri Ina namna yake ya kupigania.

CCM ni hovyo, na upinzani ni hovyo zaidi.

Kipi muhimu kwanza kwa Tanzania ni kudhibiti madaraka ya raisi ya uteuzi na kuweka stable ‘civil servant’.

Uwezi kuwa na ‘deep state’ kwa katiba ya Tanzania.

Ni hivi, sio kwamba wengine tunajisemea tu; lipo wazi ukisoma jukwaa la siasa JF over 95% hawajui political arguments. Maana yake hawajawai kusoma vitabu vya siasa na kujifunza kujenga hoja.

Sio kwamba CCM tunaipenda vile, ni kwamba huyo mbadala wa kumtoa CCM bado,

Tanzania CCM ni hovyo, ila huo upinzani ni hovyo zaidi. Like serious nchi umpe mtu kama Lissu (akili zako, łazima haziko sawa).
Ila Magufuli ilikuwa sawa kumpa Nchi
 
Inatia hasira kweli kweli. Wanavunja Katiba kwa lengo la kuendelea kunufaika na rasilimali za Nchi hii wao wenyewe pekee yao. Katika hali ya kawaida, tulitegemea Wabunge waisaidie Nchi hii kutoka kwenye mifumo hii kandamizi lakini mbaya zaidi waliotegemewa kufanya hivyo, wao wamekuwa sehemu ya kuihujumu Nchi.

Kwa hiyo, utajiri wa Nchi hii unaliwa na GENGE la watu wachache pengine wasiozidi hata 5000. Kwa maana hiyo, Watanzania 60 000 000+ wao ni watazamaji tu, lakini GENGE hilo ndo mnufaika mkuu wa utajiri wa Nchi hii.

HATUA ZA KUCHUKUA.
1. Binafsi nimeiambia familia yangu na ndugu zangu kuwa, mbogamboga ni MASHETANI kama alivyo SHETANI mwingine yeyote yule, hivyo ni kukaa mbali naye zaidi ya mita 1000. Kwenye hili wamenielewa vizuri sana kuanzia watoto wangu wadogo mpaka wakubwa. Hizi ni hatua za wazi.

2. Hatua zingine inategemeana kila mtu na mazingira yake.

Hatupaswi kulalamika tu, tuchukue hatua madhubuti tunazoweza kulingana na mazingira yetu. Vita vya UKOMBOZI vinahitaji mbinu nyingi, ujasiri na mshikamano. Tutashinda. Tutairejesha Nchi yetu katika mikono salama. Mungu mkubwa.
 
CCM wanavyofanya utafikiri hawajui kwamba Kuna MUNGU.
Hawajui kwamba power is transient.
Hawajui kwamba haya ya Dunia ni yakupita halafu ni ubatili.
Yuko wapi Mobutu Sese seko Kuku Ngbendu wa Zabanga na Jiji lake la Gbalito.
Jana Same wamekufa watu zaidi ya 30 hakuna aliyepanga kufa Jana... Mungu TU ndio alikua anajua.
TUMUOGOPE MUNGU DUNIA MAPITO.
 
View attachment 3387638

Siasa ni discipline sio uropokaji, uwezi kuongea siada kama huna ata fundamental knowledge.

View attachment 3387639

Siasa ina tafsiri nyingi; na kila tafsiri Ina namna yake ya kupigania.

CCM ni hovyo, na upinzani ni hovyo zaidi.

Kipi muhimu kwanza kwa Tanzania ni kudhibiti madaraka ya raisi ya uteuzi na kuweka stable ‘civil servant’.

Uwezi kuwa na ‘deep state’ kwa katiba ya Tanzania.

Ni hivi, sio kwamba wengine tunajisemea tu; lipo wazi ukisoma jukwaa la siasa JF over 95% hawajui political arguments. Maana yake hawajawai kusoma vitabu vya siasa na kujifunza kujenga hoja.

Sio kwamba CCM tunaipenda vile, ni kwamba huyo mbadala wa kumtoa CCM bado,

Tanzania CCM ni hovyo, ila huo upinzani ni hovyo zaidi. Like serious nchi umpe mtu kama Lissu (akili zako, łazima haziko sawa).

Sasa kuna mambo yule dogo wa ‘wachokonozi’ anadadavua ili kuona akili yake lazima uwe umesoma vitabu vya siasa.

Niamini yule dogo anajua siasa kuliko 95% ya wachangiaji wa ili jukwaa.

Wengine uwa mnaandika ujinga mtupu (ndio ukweli), siasa hamjui.
Kwa akili zako hali iachwe ilivyo kwa kuwa tu unamchukia Lissu. Mtoa hoja anazungumzia kiburi cha wenye mamlaka kupora njia za kupata viongozi. Wewe unaona bora hivi kisa candidate wa upinzani mkubws ni Lissu ?!.

Haya yote yanafanyika kwa sababu ya nature ya waTanganyika ya kutoku react dhidi ya uonvu.
 
Hicho kiherehere na kisebusebu kilicho kuamsha na kuingia Jf bila kupiga mswaki na kutoa matongoto go umekutokea vipi?

Sasa pata mood
Weka metric measures ya raisi yeyote ambayo unaweza ifananisha Magufuli.
 
Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba.
Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa.

Kibaya zaidi ugojwa huo hakuishia kwa Samia peke yake umesambaa kwa wateule wake wote. Hata wanachama wote wa ccm umewashambulia vibaya sana. Kutokana na ugojwa huo Wa akili ambao nitauita ukichaa wa madaraka.

Ukichaa wa madaraka ni mbaya kuliko ukichaa wa kuokota makopo. Kwasababu ukichaa wa madaraka hushambulia watu wengi kwa kipindi chote waadhirika wa ugojwa huo wanapo kuwa madarakani. Na baada ya hao vichaa wamadaraka wakitako madarakani huwa wanaacha familia zao kwenye matatizo maku bwa sana. Kwa mfano Hitler wa ugermani aliacha familia yake na wanachama wa chama chake cha The Nazi party wakiwindwa kama swala. Mfano mwingine ni Mbutu seseceko wa Zaire kwa sasa DRC watoto wake wanaishi kwa kujificha.

Sasa na Samia na ccm yake wanaelekea huko siku zao zinahesabika nawambia waendelee kuziba masikio . Ipo siku nitarudi hapa kuwakumbusha hili .
Haya yote yanaendekezwa na waTanganyika kutokujali mustakbali wao. Wanajua mtasema na kulala hakuna reaction yoyote dhidi ya matendo yao.
 
View attachment 3387638

Siasa ni discipline sio uropokaji, uwezi kuongea siada kama huna ata fundamental knowledge.

View attachment 3387639

Siasa ina tafsiri nyingi; na kila tafsiri Ina namna yake ya kupigania.

CCM ni hovyo, na upinzani ni hovyo zaidi.

Kipi muhimu kwanza kwa Tanzania ni kudhibiti madaraka ya raisi ya uteuzi na kuweka stable ‘civil servant’.

Uwezi kuwa na ‘deep state’ kwa katiba ya Tanzania.

Ni hivi, sio kwamba wengine tunajisemea tu; lipo wazi ukisoma jukwaa la siasa JF over 95% hawajui political arguments. Maana yake hawajawai kusoma vitabu vya siasa na kujifunza kujenga hoja.

Sio kwamba CCM tunaipenda vile, ni kwamba huyo mbadala wa kumtoa CCM bado,

Tanzania CCM ni hovyo, ila huo upinzani ni hovyo zaidi. Like serious nchi umpe mtu kama Lissu (akili zako, łazima haziko sawa).

Sasa kuna mambo yule dogo wa ‘wachokonozi’ anadadavua ili kuona akili yake lazima uwe umesoma vitabu vya siasa.

Niamini yule dogo anajua siasa kuliko 95% ya wachangiaji wa ili jukwaa.

Wengine uwa mnaandika ujinga mtupu (ndio ukweli), siasa hamjui.
Je siasa ni Uongo Uongo unaokubalika ??!
Au Siasa ni Uongo Uongo unaofanana na Ukweli ??! 😳🙄 !
😅😀🤣 !
 
Kwa akili zako hali iachwe ilivyo kwa kuwa tu unamchukia Lissu. Mtoa hoja anazungumzia kiburi cha wenye mamlaka kupora njia za kupata viongozi. Wewe unaona bora hivi kisa candidate wa upinzani mkubws ni Lissu ?!.

Haya yote yanafanyika kwa sababu ya nature ya waTanganyika ya kutoku react dhidi ya uonvu.
Lissu sio solution ni problem, afadhali haya majizi ya ndani. Kuliko mtu ambae yupo tayari kushirikiana na majizi ya nje.

Lissu hafai hata chembe kwa Tanzania
 
Ni MWENDAWAZIMU pekee anaweza kumchukia Lissu. Lissu ni Mtanzania kama walivyo Watanzania wengine. Lissu anapigania haki katika Taifa.
Lissu anapaswa kuungwa mkono na Watanzania wote bila kujali tofauti zetu za kiitikadi.
 
Napenda siasa ila nauchukia sana uongozi wa Samia , silika yake na hulka yake ya uoga, ukatili, ububu kwenye kusimamia misingi ya mshikamano na umoja wetu, kulinda uhai, na usalama wa Raia, kukosa busara, na hekima, ni mnafiki alisema yeye chura kiziwi ila kumbe ni chura mhemko vitu kidogo analipuka.

Kikwete kwa sasa namchukia kwa kulea huu uozo wa watu kupotea, kutekwa na kuuwawq na Serikali kukaa kimya no body cares.

Ila Mungu aitwaye kwa majina yote yupo inshallah atupe umri mrefu na afya njema tuwe mashahidi Tanganyika ikikombolewa.
 
Lissu sio solution ni problem, afadhali haya majizi ya ndani. Kuliko mtu ambae yupo tayari kushirikiana na majizi ya nje.

Lissu hafai hata chembe kwa Tanzania
Tahila wewe warabu walipewa bandali na Lissu gorogoro iliuzwa kwa warabu na Lissu. Kia iliuzwa kwa wachaga au warabu ? Au siku hizi warabu ndio wazawa na wabantu kama Lissu ni wageni?
 
Back
Top Bottom