GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,717
Reaction score
17,221
TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.

Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.

Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.

Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.

Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
 
Hivi taja wakoloni wakati wa TANU waliteka watu wangapi, waliua watu wangapi, yaani huu unyama wewe hujauona tu? Unalingasha hawa wauaji na wakoloni?
 
TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.

Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.

Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.

Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.

Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
Kwani CCM mmezuiwa kupiga kura, Nendeni kapigeni wenyewe, sisi wala hatuna time. Unless Reforms zifanyike, Tume iwe free from the claws of President na CCM.
 
2020
TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.

Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.

Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.

Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.

Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
2020 kwa nini hamkupata wabunge?
 
Unashindaje mkuu, tumechoka kuzika ,kuuguza ndugu zetu kisa uchaguzi
 
Nakushauri urudi jukwaa la sports, huku hau fit.
 
Ni mpumbavu tu atakaye weza kushiriki kupiga kura ambayo haina thamani mbele ya TISS na POLISI WA CCM
Mbele ya DEDs wana ccm
No reforms no election
 
TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Siyo kweli!

Kwanza chadema haijasusia uchaguzi, bali itauzuia uchaguzi.

Hakutakuwa na uchaguzi kama mabadiliko hautafanyika. CCM bado wana mwenzi mmoja wa kutafakari upya jambo hili. Vinginevyo uchaguzi hautafanyika.
 
Acha kuota mchana
 
TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.

Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.

Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.

Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.

Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
Bora walivyokataa ili ccm wapite bila kupingwa
 
Uchaguzi sio hisani ya chama flani eti kikuachie kwasababu umejaribu mara nyingi uchaguzi unatakiwa kuwa huru in all aspects. Akili za watanzania ni ndogo sana,yani tunaomba hata kilicho chetu
Hata Trump alidai uchaguzi uliibwa lakini hakususa akajitosa tena ingawa mara hii alikoswakoswa kuawa. Kama USA wanauana unashangaa nini Afrika kuyaona hayo? Siasa hamziwezi bhna mmevamia tu mtumbwi wa vibwengo.
 
Uchaguzi sio hisani ya chama flani eti kikuachie kwasababu umejaribu mara nyingi uchaguzi unatakiwa kuwa huru in all aspects. Akili za watanzania ni ndogo sana,yani tunaomba hata kilicho chetu
uchaguzi sio hisani lakini amani na utulivu ni hisani. Watu hawako tayari kupoteza uhai eti kwasababu fulani aende Ikulu. Hatuna uhakika kama yeye akifika Ikulu hali za watu zitabora kwa namna ipi. Ruto alipomwangusha Laila aliahidi mambo makubwa kabisa kwa wakenya, lakini hakuna kitu. Gwajima alipoutaka ubunge wa Kawe aliahidi makubwa kwa vijana, yako wapi?
 
Back
Top Bottom