Kuelekea ushirikiano wa kusimamisha mgombea mmoja wa upinzani napendekeza pawepo na mdahalo wa wagombea ili wapiga kura tuwstathmini.
Wagombea wakuu Tundu Lissu na Bernard Membe na ikiwezekana...
Hatimae ile meli maarufu katika ziwa victoria New MV Victoria hapa kazi tu inanza safari zake hapo siku ya jumapili. Na kwa wakazi wa eneo la Kanda ya Ziwa huu ni ukombozi mkubwa kwa uchumi wa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.
Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao...
Kuna taarifa kuwa mipango inafanywa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa PM wa sasa Majaliwa anapita bila kupingwa na chama chochote uchaguzi wa Ubunge.
Hiyo itakuwa ishara mbaya sana na...
Juma hili hili mtoto wa JPM - Jesca Magu amehamishiwa REA kwenye mishahara mizuri wakati juzi JPM mwenyewe alimsifia Daktari mmoja wa Falsafa aliyekuwa akifanya CCM kuwa alikuwa anapata mshahara...
MGOMBEA WA CHADEMA MH TUNDU ANTIPAS LISU, KAMA HAELEWI!
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo nikiwa napitia mitandaoni nimekutana na Twitter ya Mh Lissu ambayo imepambwa na Picha ya Mh Rais Dkt...
Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha...
Tulishasema hapa idadi ya wabunge sio upinzani. Upinzani ni fikra. Ubunge na udiwani unaweza kuiba kura hata kulazimisha. Kitu ambacho huwezi kulazimisha ni upendo. Kama mtu anampenda mtu mwingine...
Vyama vya siasa nchini vimeliomba Jeshi la Polisi kutenda haki na kutoonyesha kupendelea upande wowote kuelekea kwenye uchaguzi, ili kutunza amani na utulivu.
Kwa upande wake, Chama Cha Mapinduzi...
Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko...
This is very interesting, kwa kweli...
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata...
Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa...
Tumeshawasoma kuwa mmempitisha Tundu Lissu agombee ili mpate huruma toka kwa wananchi kwa tukio baya ambalo lilimpata baada ya kushambuliwa na genge la magaidi wanaotumiwa na CHADEMA na hii ni kwa...
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu.
Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza Mhe. Salum Juma Mwalim, akizungumza na Wananchi wa Bariadi Mkoa wa...
Rashid Hamza Jumbe (Mgombea Ubunge Tanga mjini kupitia ACT wazalendo). Ni miongoni mwa wanasiasa jasiri na shupavu kwa Hoja licha ya wapinzani wake wakimjadili binafsi kuliko utendaji wake wa...
Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
Msafara wa Tundu Lisu kutoka Singida kuelekea Shinyanga kusaka wadhamini umekuwa ukisimama katika vijiji mbalimbali na " kulazimisha" wananchi wawasalimie.
Nimewaona pale kwa Dr Mwigullu Nchemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.