Uchaguzi 2020 CCM Tarime: Mtia nia Dittu Manko yuko Kenyamanyori anagawa Tsh. 10,000

nokwenumuya

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
810
2,850
Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
 
Huyo mtoa rushwa hatufai. Tunataka mtu Safi, Msomi wa kutuletea maendeleo Hapo Tarime Mjini. Kwa Miaka 5 Mbunge wetu yeye kutwa kuzungukia kesi tu.
 
Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
Sasa hiyo ni rushwa au posho ya kikao. Mtu kawakusanya watu wamskilize, kawapoza na posho ya maji kwa kuwa wameacha shughuli zao. We unasema ni rushwa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Elfu 10??Uko serious mkuu?Yani mtu anakupa rushwa ya 10k unakubali? Si upupu huu.
 
Mwambie akimaliza asogee na maeneo ya Turwa kuna marafiki zangu pale asambaze hiyo neema. Maisha ni kusaidiana
 
Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
Huyu dogo kumbe aliishia kuwa nzi wa kijani,St Mathew ilizalisha nzi wa kijani kumbe
 
Ka ta maneno mawili tu, kama kilicho mkuta Bashite anatia huruma,

Wajumbe wa huko hamto tuangusha chukueni pesa harafu mkateni tu
 
Back
Top Bottom