Nafurahi kuona majimbo mengi wamesimamishwa wanawake hii strategy kuelekea 2025 ni muhim sana.
Pia napongeza kuweza kusimamisha wagombea majimbo yote TZ zile hbr za CCM kupita bila kupingwa zimekua Historia sasa.
NB: Nusrat sijasikia jina lake wala Mwambigija. Hawa wangeingia bungeni kungekua na moto sana.
Safi sana!Mkuu Nusraty si wamemtia ndani mwezi sasa?
Kwahio?Hao wote watasalitiwa na sanduku la kupigia kura. Ccm ni baba lao, tutashinda kwa kishindo kikubwa sanaa.
Funga domo lako. Nyie endeleeni kumtegemea kamanda Siro kuwasemea, CCM chali.Hakuna mpiga kura mwenye taimu na wagombea ubunge wa Chadema kwasababu kila mtu anajua ni wasindikizaji tu. Subiri wa CCM watakapotoka uone maana ya "Chama chenye mvuto kwa wapiga kura".
TUKUTANE OKTOBA 28!
Mmh alipigwa ndan kisa nn mkuuMkuu Nusraty si wamemtia ndani mwezi sasa?
Washindikizaji mnawanunua kwa bei mbayaHakuna mpiga kura mwenye taimu na wagombea ubunge wa Chadema kwasababu kila mtu anajua ni wasindikizaji tu. Subiri wa CCM watakapotoka uone maana ya "Chama chenye mvuto kwa wapiga kura".
TUKUTANE OKTOBA 28!
Sawa si Rungwe anao wabunge wengiKimya kikuu kina mshindo. Ngoja majina ya CCM yatoke uone. Hao wenu nani anawajua? Wanazidiwa hata na wa Hashim Rungwe!
Wanajijua wasindikizaji ndio maana wananunulika.Washindikizaji mnawanunua kwa bei mbaya
Ninyi si mlipata wabunge wengi kwa upepo wa Lowassa 2015? Sasa ngoja uone mwaka huu. Wakifika 15 nitakupongeza!Sawa si rungwe anao wabunge wengi
Wishingfull thinking mnashindwa kuelewa kuwa CCM ime expire ipo out of fashion inanunua ndege mbovuNinyi si mlipata wabunge wengi kwa upepo wa Lowassa 2015? Sasa ngoja uone mwaka huu. Wakifika 15 nitakupongeza!
TUKUTANE OKTOBA 28!Wishingfull thinking mnashindwa kuelewa kuwa CCM ime expire ipo out of fashion inanunua ndege mbovu View attachment 1536102