Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa namna yoyote ile Hayati John Pombe Magufuli hakukubali kufanya kazi na watu wasio na uwezo. Alimuibua Deo Ndenjembi huko kongwa.. Kilichofuatia ni historia
0 Reactions
4 Replies
115 Views
Kwamba CCM ni zaidi ya mtu mmoja kama ilivyokuwa zamani wakati wa chama kimoja. Kipindi hicho watu walilazimishwa kuzikubali fikra za mwenyekiti hata kama hazifai. Leo hii kila Mtanganyika anajua...
2 Reactions
2 Replies
69 Views
Ni ahadi naiona ikitimia. Walianza njia ya kuwatoa ni kuwapeleka ubalozini kama nchimbi na polepole soon mtawekwa kizuizini kama VP au kusikojulikana kama polepole joka limechoka kunywa damu za...
5 Reactions
11 Replies
240 Views
Mlifurahia Mheshimiwa kujihuzuru sahzi mnaumia kumpata Mh. Makamu mpya sasa mnafikir mambo yatasimama? Hivi mnaakili kweli nyie nyumbu Ndo maana mnaitwa MANYUMBU.
0 Reactions
16 Replies
120 Views
Tarehe 10 Februari 2025 Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe...
7 Reactions
85 Replies
1K Views
Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu...
0 Reactions
4 Replies
510 Views
Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake. Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa...
19 Reactions
37 Replies
567 Views
CCM ina Hazina Kubwa ya Vijana wenye kariba ya uongozi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuonesha kuwa kina hazina kubwa ya vijana wenye kariba ya uongozi, uzalendo na uwezo wa kulitumikia...
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Hakuna mtu yyte aliyekishikilia chama cha CCM kama unadhani una nguvu ndani ya CCM unajidanganya BURE. Inshort siasa za CCM ni za kiwango cha ulimwengu mwingine ni siasa zilizojengwa kwenye...
2 Reactions
36 Replies
260 Views
Hii ni very classified information. Siongezi neno Mto wa mbu State of Illinois
45 Reactions
228 Replies
9K Views
Hawa wanasiasa wanacheke Kama sio ndugu zako dadeki Cheki hizi sauti mbuzi 🤣🤣
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Kutokana na uchambuzi wangu,nafasi hii naona inaenda moja kwa moja kati ya watu hawa 3. 1.Prof.Kilila Mkumbo-70% 2.Prof.Palamgamba Kabudi-10% 3.Prof.Adolf Mkenda-20% Sababu. 1.Nafasi hiyo...
1 Reactions
19 Replies
320 Views
Bado maswali ni mengi kuliko majibu, Yeye amejiuzuru mpaka siasa, kabsa alafu nyie mnamfuta UHANACHAMA ili iweje? Yaani ccm Haina Imani na Nchimbi inawaza yakuwa yawezekana baadae akabadilika...
7 Reactions
12 Replies
334 Views
Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa...
1 Reactions
28 Replies
691 Views
Salaam! Inaendelea live, https://www.youtube.com/live/n-kmeazATjw?si=X3ij2Vo-Q0MJF8hQ Askofu Gwajima amesema kumekuwa na mlolongo wa matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea hivyo kutokana na...
67 Reactions
443 Replies
28K Views
Inasemekana mawasiliano na Nchimbi hakuna hadi sasa Ikiwa wamechukua simu yake maana yake huenda wamegushi barua ya kujiuzulu, wakatumia account zake za mitandao ya kijamii pia kutuma. Nafasi ya...
4 Reactions
14 Replies
393 Views
Mheshimiwa Rais wangu. Pole na majukumu ya kazi yako ya uraisi,na pole Kwa lawama ambazo zinaelekezwa kwako hata pale ambapo makosa hayo yamefanywa na wasaidizi wako. Mheshimiwa Rais natamani...
5 Reactions
18 Replies
864 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja...
34 Reactions
1K Replies
116K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…