Katika hali isiyokuwa ya kawaida,baadhi ya viongozi na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi CCM kata ya Mji Mwema mjini Njombe,wamesema wako tayari kwenda kushusha bendera za Chama chao na kuto shiriki...
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye.
Membe amewakaribisha...
Watu wengi hasa Wafuasi wa CHADEMA tangu Rais Magufuli amsifie Mhe Mbatia hadharani walianza kudhani ni msaliti wa Magruzi, na kuita chama cha NCCR Mageuzi kuwa ni CCM B.
Wakimaanisha NCCR...
Hivi karibuni Msemaji mkuu wa serikali, Dkt H.A amekuja na kampeni yenye Hashtag ' #Miaka5YaKazi" inayoonesha miradi mbalimbali iliyofanywa awamu hii.
Cha kushangaza hii campain kama vile...
Mpaka sasa haieleweki nani mgombea Ubunge halisi kupitia CHADEMA jimbo la Kilombero. Wakati kamati kuu ikimteua Modestus aliyeongoza kura za maoni kuwa mgombea uongozi wa kanda na wilaya...
TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi...
Hebu tuwàsaidie hawa wenzetu kujibu swali hili japo naamini watumishi wote hawajaongezewa mishahara kwa miaka mitano mfululizo.
Mimi sio mwajiriwa wa Government Ila hebu leo nivae viatu vyao...
Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo imemteua Saed Kubenea kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020, Kubenea alikuwa Mbunge wa Ubungo (2015-2020) kupitia...
Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amewataka wagombea waliofeli kwenye kura za maoni wawapigie kampeni walioshinda pindi kampeni zitakapofunguliwa.
Polepole amesema CCM ni chama kikubwa tena...
Na: Beatrice Condrad
Kauli mbiu ya Chama Cha Mapinduzi 2020 ni: TUMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUNASONGA MBELE PAMOJA.
Kwanza kabisa napenda kutoa UTANGULIZI wa Ilani yetu ya Uchaguzi 2020 kama...
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, amesema iwapo wananchi watakipa ridhaa chama chake kushika madaraka, serikali yake itatunga sheria ambayo makahaba, wasagaji na...
Jimbo la Handeni Vijijini mkoani Tanga Hakimu amekataa kuwaapisha Wagombea Udiwani kupitia Chadema kwa madai ya kwamba Hakimu anaye husika kuwaapisha Wagombea hao hayupo.
Huku Handeni Mjini...
Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi.
Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma...
Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo ujinyakulie ubunge kiulaini!
Kwa upande wangu siddhani kama kuna mtu ana fahamu vyema mengi ambayo Nyalandu aliyowahi kupitia akiwa mbunge chini ya CCM moja ya tukio baya ni lile la yeye kukoswa koswa ndani huko nyumbani...
Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi...
Tokea katika mkutano ulioshirikisha wadau wengine wa uchaguzi Dar, kamanda Sirro amenukuliwa akisema vyama kulinda kura ni kosa la jinai.
Kwa mujibu wa kamanda huyu kazi ya kulinda kura ni kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.