Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika endapo Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha ikiwemo kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
436 Views
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Umri wa kupiga Kura ni kuanza miaka 18 Sasa mnashangaa nini? Nawatakia Dominica njema 🙏
2 Reactions
30 Replies
861 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na madiwani, utafanyika siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
GT. Anasema "Upumbavu ni kuujua ukweli lakini ukakumbatia Uongo" Aha 😄 🤣 😂 wonders shall never End
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Jana CCM wamefanya mkutano wao wakati huo huo tume ya uchaguzi imeweka wazi ratiba rasmi ya uchaguzi mkuu. Hii inatoa taswira kuwa CCM hawajali lolote lile, kumekuwepo mambo mbalimbali yanao...
1 Reactions
8 Replies
461 Views
Watanzania/Watanganyika wameuona mwanga wa Bwana. FANYA REFORM, WAMECHOKA, WEKENI MPIRA KATI TUCHEZA
0 Reactions
4 Replies
546 Views
Samia amejua kuwasuuza wajumbe leo na kuonesha kua anahitaji wajumbe wachache tu, kama 30 tu kukiendesha chama, nyie wengine mtabaki kua waskilizaji from far na kuwawezesha mambo yao yaonekane...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha...
8 Reactions
22 Replies
880 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la...
1 Reactions
5 Replies
429 Views
TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje...
0 Reactions
4 Replies
314 Views
Kimsingi mimi ninakubaliana na Ngurumo kuwa vyama vyote vinahitaji mabadiliko ya kikatiba, sheria na kanuni za kiuchaguzi(Reforms), CHADEMA, ACT, CHAUMMA,UMD, NCCR, CUF na hata CCM kwa kiwango...
1 Reactions
22 Replies
939 Views
Maneno haya pengine siyo mageni sana kwako "The one who got you here won't get you to the next level" yanabeba maana ya kina katika muktadha wa maendeleo ya mtu binafsi, kazi, uongozi au...
0 Reactions
1 Replies
310 Views
https://youtu.be/IE9sYQ6WgE0?si=C66gZnDjjqoCBh1k Hii ni hatua muhimu ta kwanza ndani ya chama iliyofanywa na Hayati Rais Magufuli alipokuwa anakiomba chama chake CCM kimteue kugombea u - Rais wa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
UTANG'ARA AU UTAFUBAA Zamani za kale, katika Ufalme mkubwa wa Singida, alizaliwa mtoto wa kifalme mwenye alama ya ajabu usoni jina lake aliitwa Kachimuu, mtoto wa malkia wa pili. Kabla...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi...
2 Reactions
6 Replies
563 Views
Hii imewavua nguo waandishi wote waliokuwa wakidhamiwa kuwa ni wakongwe na wakati hawana vyeti vya taaluma zao ? Mliwezaje kufanya mahojiano na watu wakubwa na kuzunguka duniani kote...
25 Reactions
165 Replies
9K Views
Samia anasema ni “wengi” kwenye ubunge na udiwani ndiyo maana wanabadilisha katiba ya CCM—lakini kwenye urais yuko peke yake, hataki fomu zipewe wengine! Alijiteua mwenyewe kinyume na katiba ya...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…