Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama...
2 Reactions
5 Replies
371 Views
MAMBO 20 USIYOYAJUA JUU YA MAGUFULI 1. Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 kwa mwaka jana katika nchi mbali mbali dunian 2. Magufuli Ana uwezo wa kukariri namba 22, kwa wakati mmoja, craming...
8 Reactions
34 Replies
8K Views
Gambo bila Shaka umeona the power of Karma. Kila ubaya huwa unalipwa , Mwenzako familia yake ipo ulaya imekaa na kutulia.
1 Reactions
4 Replies
459 Views
TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Ile battle ya Makonda na Gambo imeisha rasmi, Makonda kapita kwenye mchujo
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Joseph Gwajima Luhanga Mpina Hersi Said Arafat Haji Byabato Mpango Majaliwa Polepole Lissu Heche Butiku Warioba Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why? Huyu mama...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Naona mshikamano ni mkubwa sana kwa wanaChadema kwa sasa. pamoja na mizengwe ya utawala wa CCM Mimi mwenyewe nashangaa huu mshikamano unatoka wapi. Kesi za kubambikiwa na kuzuiwa kufanya...
19 Reactions
37 Replies
1K Views
Hii itakuwa wiki ya moto sana kwa wanasiasa na siasa kwa ujumla. Kuanzia chama tawala mpaka upinzani. Kuna matukio ya kisiasa yatatokea ndani ya wiki hiyo kuanzia kesho jumatatu tarehe...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Muinja Maingu, amesema ameridhishwa na mchakato wa uteuzi uliofanywa na chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, akibainisha kuwa...
1 Reactions
4 Replies
485 Views
Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI...
25 Reactions
139 Replies
4K Views
Heshima sana wanajamvi. Kipindi cha nyuma enzi za TANU na CCM ya wakati uleeeeeee iliwepo nafasi ya wagombea ndani ya chama wanapofanyiwa mizengwe walikuwa nafasi ya kukataa rufaa kwa wananchi...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea...
0 Reactions
9 Replies
655 Views
kosa gani alifanya huyu Byabato na Makamba mpaka wameishia kuwekwa Pembeni
0 Reactions
3 Replies
630 Views
Hayo yamesemwa kwenye mjadala ulioongozwa na Travo pale Citizen tv kwenye kipindi cha Monday Report Kwamba Siasa za Tanzania ni za next level na itawachukua Kenya miaka 20 hadi Utawala wa Gen Z...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
1) MKOA WA ARUSHA 1) Ndugu Lilian Joseph BADI 2) Ndugu Zaytun Seif SWAI 3) Ndugu Athuman ISSA 4) Martha Gido KIVUNGE 5) Dkt. Asanterabi Ngoyai LOWASSA 6) Ndugu Navoi MOLLEL 7) Ndugu Martha Martin...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda...
0 Reactions
16 Replies
794 Views
Wanamchinga wameniambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.Kimsingi, anasisitiza kwamba wananchi wa jimbo hilo wamemwambia wataendelea kumchagua mradi atakapojihisi...
2 Reactions
19 Replies
711 Views
Ulipozuia kutokujengwa hosptali ya mama na Mtoto kisa Lema ndo alileta wafadhili basi hiyo karma haiwezi kukuacha salama utafutwa katika ulimwengu wa siasa...
5 Reactions
19 Replies
958 Views
Expect unexpected,nilijua atarudi,ndio kwani kafanya mengi yenye kuonekana,nasema hivo Mimi mwananchi ninayeishi naye huyo mgombea aliyekatwa. Amewakilisha wananchi vilivo,alisemea wananchi shida...
2 Reactions
15 Replies
901 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…