Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SAMIAAAA SAMIAAAA SAMIAAAA Ukibisha hamia Burundi in Mwigulu's voice.
7 Reactions
100 Replies
3K Views
Nimeambiwa kwa njia simu kuwa leo alikuwa kwenye msiba wa mzee mmoja hapo Chato. Hana jipya zaidi ya kujtambulisha kuwa baba yake alikuwa mpishi kwenye kianda cha kuchambua pamaba na kikafunguliwa...
2 Reactions
8 Replies
821 Views
Hongera sana Raisi na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema CCM itajitahidi kuingiza vijana wengi kuwania nafasi za...
2 Reactions
8 Replies
669 Views
Hivi ndio vililuwa vichwa vya habari kila kukicha kulipotokea tofauti CHADEMA, yaani cha kushagaza mpaka magezeti yakawa ya kishabiki maandazi, kuchochea makaa. Sasa mpira umegeuka bana🤣🤣🤣...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Uchaguzi Mkuu 2025: Je, unajua takwimu hizi muhimu? 📍 Jumla ya wapiga kura — Zaidi ya 37.6 milioni! 📍 Idadi ya Wanawake ni kubwa kidogo vs Wanaume 📍 Vituo vya kupigia kura — Karibu 100,000...
0 Reactions
1 Replies
426 Views
Tanzania na Rwanda Zaimarisha Ushirikiano kwa Kusaini Hati Mbili za Makubaliano Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
We fikiria bunge la Ulaya linajadili mustakabali wake kisiasa na kimaisha. Bunge la senate la Usa linajadili musfakabali wake kisiasa na kimaisha. Huyu mtu anakubalika dunia nzima na anawazidi...
4 Reactions
6 Replies
268 Views
Baada ya wajumbe kuwakata vigogo wengi na machawa wa mama SSH kawaza kaona aje na mkakati wa kuwarudisha machawa wake kwenye nafasi ndo maana kaona abebe majina mengi ili kamati kuu iyapitie...
3 Reactions
5 Replies
643 Views
My Take Huu ni ukweli mchungu najua mnajua ila mlokuwa mnatikisa kiberiti. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile...
2 Reactions
5 Replies
622 Views
Huu ndio Ukweli, Wajumbe waliokuwa wanaangalia sinema na hotuba ya Viongozi unawezaje kusema wameshiriki kikao hicho? labda tuambiwe maana ya neno "Kushiriki" nalo limekarabatiwa na kuwa na maana...
13 Reactions
79 Replies
4K Views
Ninapoangalia mwenendo wa sasa ndani ya chama chetu, nahisi kuna upungufu mkubwa wa viongozi wenye maono. Kiongozi sahihi anapaswa kuwa na "jicho la tatu" – yaani uwezo wa kuona changamoto kabla...
2 Reactions
12 Replies
715 Views
Hii ndo maana halisi ya Mitano tema.. Samia Suluhu Hassan tunaye natunatambba naye 2025-2030 Born in KIZIMKAZI Kuitawala Tanganyika🤣🤣🤣
2 Reactions
0 Replies
275 Views
Niliwahi kuandika humu nikasema kuwa katiba haikutokana na genetic factor,bali katiba bora lazima iakisi mazingira yaliopo,povu zikawa nyingi,nikatolea mfano wa PK. Demokrasia mnayoipigia chapuo...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Kwa nini Kamati Kuu au Halmashauri Kuu ndiyo iamue Kamati Kuu inataka kuleta udikteta. Kikao cha chini kiseme ,Hawa watu kumi wanataka kuwa Wabunge.
2 Reactions
5 Replies
445 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nawauliza ccm kwann mnataka tuingie kwenye uchaguzi tukiwa na hii katiba mbovu kuliko kawaida? Mfano tumeshuhudia ubabe wa matokeo ya wabunge Malaya kuchaguliwa chini ya mwamvuli wa dola hivyo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Haipatikani hewani tena. Ni kwa ajili ya matatizo ya Ufundi au ni yaleyale ya kukomoana, kwamba mwaga mboga nimwage ugali, ama ni mambo ya Ithibati?
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya ccm, mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kidigitali, umefanyika kwa kwa mafanikio makubwa, kwa maelewano na utulivu wa kiwango cha juu sana miongoni mwa wajumbe...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
1, Ni mambo gani ambayo ni kikwazo kwa utekelezaji wa mchakato wa katiba mpya kwa Taifa letu Tanzania? 👉 Ukosefu wa nia ya kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu 👉, Ukosefu wa fedha za kufanikisha...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Sina hakika sana na uwezo wa Vijana wa kitanzania lakini huu ni Mwanzo mzuri kwa sababu hata Yesu Kristo alihudumu akiwa na miaka 30 hadi aliposulubiwa akiwa na miaka 33 Natamani hata mwanetu...
2 Reactions
10 Replies
451 Views
Back
Top Bottom