Huko Mvomero mgombea ubunge kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na mpaka sasa haijulikani alipo
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na...
H
ABARI Mgombea Ubunge wa Jimbo la kigoma kaskazini kupitia CUF, mhe. Kiza Hussein Mayeye leo Agosti 25, 2020, amerejesha fomu ya uteuzi katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la kigoma...
John Shibuda anayewania nafasi ya Urais na Mgombea Mwenza Hassan Kijogoo wamerejesha fomu katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zilizopo Jijini Dodoma.
Baada ya kujiridhisha, Tume ya...
Kwanini wale wanaojiita kamati ya viongozi wa Dini wana sambaza ajenda ya AMANI na sio HAKI?
Kipi kinatakiwa kuanza amani au haki? Naweza kusema hawa watu ni wanafiki na wachumia tumbo...
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Leopold Mahona kuwa mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ally Hamis kuwa mgombea wa...
Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa...
Tuacheni propaganda rahisi kiasi hicho zisizokua na kichwa wala miguu. Unapolalamika kua Lissu anakatwa na NEC kwa kipengele kipi cha Sheria? Taja hicho kifungu hapa hapa usiwe muongo muongo na...
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na Raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo.
Kwa kuwa nawafahamu leo nimewasamehe bure ila kuna siku hapa Ubungo...
Habari wadau,
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi
Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form...
Kati ya chaguzi ngumu za Ubunge CCM ni huu wa jimbo la Singida Kaskazini ambapo ndugu Lazaro Nyalandu kada wa zamani wa CCM na Waziri wa Maliasili na Utalii wa awamu ya 4 kupitia CHADEMA dhidi ya...
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020.
Makamba ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter...
Vijana tupo na ari kubwa Sana kupita uhalisia unao uona wazi wazi. Wapo wengine wanaogopa kuonesha utayari wao kwa kuogopa kufanyiwa vitendo vya kinyama kutokana na ukatili uliofanywa na Bwana...
Kwenu Viongozi na wanabodi;
Bila kupoteza Muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja; Leo nimekuwa nikijipa Muda wa kuchungulia kinachoendelea huku mitandaoni hasa JF na Twitter lakini Cha...
22 August 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania
CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu za wagombea. Hivyo...
Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia ACT-Wazalendo, akutana na upinzani mzito kutoka kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa jimbo hilo, kwa kile kilichoonekana barua yake ya utambulisho kutofautiana...
Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe leo amekwenda kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi Jijini Dodoma kuhakiki fomu zake kama ziko sawasawa kabla ya kuziwasilisha rasmi hapo kesho 25/08/2020...
Miaka ile damu ikinichemka, nikiruka fance ya nyumbani na kwenda zangu kuruka majoka Kama tulivyokua tukiita enzi hizo, Disco likiwa linatawaliwa na nyimbo za kina BlackBox, Casanova, Patishange...
Makadirio ya Idadi ya watu Tanzania 2020 ni Milioni 59.7.
Idadi hii imegawanyika kama ifuatavyo:
1. Walioko chini ya miaka 15 ni zaidi ya 44.8%
2. Katikati ya miaka 15 hadi 64 ni 52%
3. Walozidi...
Kwa mtu anaekusudia kukiondoa madarakani chama kinachotawala huna budi kufanya homework yako vizuri ili uyaongelee mambo ya wananchi ambayo serikali iliyopo madarakani aidha iliyatelekeza au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.