Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
 
Unaweweseka nini? Sasa na wewe una tofauti gani na wale "si Mange kasema?"

Soma sheria usiache binadamu mwingine afikiri kwa niaba yako jinga kabisa.
 
Back
Top Bottom