Najaribu kuifuatilia safari ya njia ya msalaba kupitia Biblia Takatifu, kiukweli kuna baadhi ya maamuzi ni vigumu kuyafanya ukiwa vuguvugu ni ama uwe na Roho Mtakatifu au uwe na Roho wa Shetani...
Mtu mmoja (jina linahifadhiwa) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kuhusika kumteka nyara mgombea udiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya...
Polisi mkoani Morogoro inawashikilia wanachama watatu wa Chadema walioghushi barua za utambulisho wakijifanya ni wanachama wa chama cha SAU na kutaka kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa njia ya...
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA...
Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard...
Historia huwa ni mwalimu mzuri sana. Na hii hii historia unaweza kuitumia kujua nini kinafuata.
2000 ya Mkapa ilikuwa rahisi sana sababu kwa miaka 5 yake watu walishamuelewa na kumkubali zaidi...
Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila.
Hakuanza...
Tulishuhudia wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, leo pia tumeshuhudia katika mchakato wa uchaguzi mkuu:
1. Wagonbea wa CCM walijaza fomu vizuri, zimepokelewa bila shida
Baadhi ya wagombea...
Watanzania wenzangu tunaingia tena kusikiliza zile nyimbo nzuri za kampeni. Ilani zinazotia matumaini huku wanaozitoa wakijua wanatudanganya. Ilani zilizoshiba matumaini kwa kada masikini wa...
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hamida Abdallah Huweishi, kuwa mgombea wa nafasi ya...
Wanajamvi Salaam,
Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa...
UCHAGUZI MKUU
au
UTEKAJI MKUU
au
UJAZAJI FOMU MKUU
Kutokana na vyombo vingi vya habari kuwa likizo katika msimu huu, jamii inakosa habari muhimu. Magazeti mengi, TV na Redio vimepelekwa...
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu...
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa...
Tundu Lissu akihutubia mamia ya wafuasi wa Chadema na Wananchi wasio na itikadi ya chama chochote mkoani Dodoma ametoa hoja kali ambazo CCM hawana uwezo wa kuzijibu zaidi ya kupanic na kukimbilia...
Nikiwa Kama Mtanzania, naomba kutoa ombi na ushauri wangu kwako Jaji Mkuu wa Tanzania. Mahakama Ni Taasisi takatifu mahali popote Duniani. Kuna habari zinaandikwa humu mitandaoni kuwa Kuna njama...
Mhe. Mbowe anatishia amani ya nchi yetu kwa maslahi yake ya kisiasa kiongozi kuongea neno lolote linaloashiria vurugu na kuvunja amani, huo ni uchochezi.
Mhe. Mbowe leo katumia Ukurasa wake wa...
Lissu amemmaliza Membe! Membe angeungwa mkono na wana CCM ila wanaona alivyozidiwa na Lissu kwa hiyo wanajua hashindi wameachana naye.
Kumuengua Lissu ni kumfanya Lissu amuunge mkono Membe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.