Kuna silaha ambayo haihitaji bunduki, risasi wala mabomu ili kuligawa taifa. Silaha hiyo ni propaganda—hasa propaganda inayolenga kuwafanya wananchi waamini kwamba tofauti zao ni sababu ya...
Naibu waziri wa Afya na Mbunge wa jimbo la Siha Dkt. Godwin Mollel akichangia kwenye wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya anasema kuna wana CCM wenzao ambao wameanza kuwageuka.
Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa?
Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa...
At the invitation of the President, Mr. Fletcher-Cooke, special representative of the Administering
Authority for the Trust Territory of Tanganyika, Marealle II, Paramount Chief of the...
Siku hiI Mzee BUTIKU, HATA akija na kamkutamo kake, Wazee Makini hawaonekani, wanamuacha apambane na Unafiki wake.
Kwa upande wa pili, Kwenye Mikutano inayohusu Wazee wenye Akili, Mzee BUTIKU...
Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu.
Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali tuu, ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni kutoka nchi majirani zetu, wa mikoa ya pembezoni wanaopose kama Watanzania jee kuna haja kwa viongozi wetu...
Ccm Bado Bado Kuna madalali wa Nafasi za uteuzi mpk Leo?
Juzi Kuna Rafiki yangu mkuu wa WILAYA na mwingine mkuu wa mkoa mmoja machachari,na mawaziri wawili walinusurika kupigwa fedha ili waonge...
Wanabodi
Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole...
MAPUNGUFU YETU KIMAADILI YALIANZA KWENYE MICHAKATO HII
Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 1984 na 1992 upande wa Jamhuri pia Uandishi wa Katiba ya Zanzibar mwaka 1984 na mabadiliko yalofuatia mwaka...
Wanabodi,
Nimekutana na bandiko hili
lenye tuhuma lukuki dhidhi ya kiongozi huyu..
Dotto Biteko unajua utaondoka Wizara ya Madini, ndo uibe kiasi hicho? Hizo pesa utakufa utaziacha.
Madini ya...
GTs,
Nimekuwa kimya sana kwa sababu nililamba uteuzi, na mimi sasa nafaidi keki ya taifa, tusisumbuane.
Kwa kilichotokea kwa ndugu yetu Ndejembi, ina maana kamati kuu ya CCM inaweza kukutana na...
wenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi...
Mfano nani anapaswa kusema hutana imani na WAZIRI,WAZIRI MKUU,RAIS NA MAKAMO kati ya chama cha siasa cha viongozi hao au bunge linalowakilisha wananchi?
Wanabodi,
Angalizo la Nyuzi Ndefu
JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli...
Zoezi la maswali ya dodoso kutoka kwa Jamhuri kwenda kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, litaendelea asubuhi hii Agosti 28, 2026 huku likitarajiwa...
Yesu alisema hata kama hamniamini basi niaminini kwa kazi mnazoziona.
Kumbe wazanzibar ni wamoja na wameshikana kindakindaki na ajenda yao ambayo huenda Mama amepanga kuwapatia kama tunu na...
Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi.
Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa...