Anaandika kijana makini LUMOLA STEVEN (Mgombea ubunge bukene kupitia CHADEMA)
ZEDI SELEMANI JUMANNE
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi aliniwekea pingamizi lakini hakuwa makini kavunja kifungu Cha...
Kilichotokea mkoani Songwe na kupelekea umauti wa Mtanzania ni ishara kwamba amani tunaivuruga wenyewe hasa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia haki wanashindwa kutumia hekima wala busara...
SISI MOSHI MJINI TUNAJAMBO LETU NA PRISCUS WETU [emoji1241][emoji1241]
Hadidu rejeaa, Ni baada ya Mchakato wa Siku zisizopungua tano za Vikao vya Juu ya CCM na Hatimaye Kumpata Mgombea Makini na...
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO...
Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo...
Mgombea Udiwani wa CHADEMA Kata ya Majengo mjini Tunduma Boniface Mwakabanje ambae alikuwa anashikiliwa kwa ishu ya uraia, leo mchana amefikishwa Mahakamani na kupewa kesi ya 'Armed robbery'...
Inakuwaje mwenyekiti wetu Freeman Alkael Mbowe kuwa baridii kipindi hiki ambacho uenyekiti wake ulipaswa kujidhihiri.
Inakuwaje kila kona watu wa CHADEMA wanaenguliwa kihuni na hakuna reaction ya...
Mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kwa tiketi ya CHADEMA na dereva wa mgombea Ubunge wa Morogoro mjini Bi Devotha Minja wamekamatwa na Polisi muda huu huku mgombea...
MAPINGAMIZI HALALI KISHERIA DHIDI YA MGOMBEA NAFASI YA URAIS.
Wiki ijayo tarehe 26 August, 2020 itakuwa ni siku ya wagombea kuwasilisha mapingamizi dhidi ya wagombea wa nafasi ya Urais wa...
1. Wafanyakazi wote wa umma hata mashirika binafsi twende na Tundu
2. Wote waliolazimisha kurejesha mkopo wa HSLB 15% badala ya 8% ilokuwepo kwenye mkataba Oct .28 Twende na Tundu Lissu
3...
Tuangalie kwa karibu vipengele vya kuzingatia:
Kwanza, kwa wote wanaojaribu kutoa elimu kwa wapiga kura waelewe kuna kifungu hiki
4.-(1) A person shall not provide voters’ education without...
Katika uchaguzi wa oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio vyama vya upinzania , yani hii ipo wazi kabisa , hawa wapinzani mfano wakina Lissu sio Membe , sijui Zitto hawa wote sio wapinzani wa CCM ...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Lindi imemkamata na inamshikilia mgombea ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Seleman Luwongo...
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.
Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea...
Taarifa zinasema baada ya Mussa Zungu kuona Mgombea ubunge wa NCCR-MAGEUZI jimbo la Ilala Nicolaus Clinton ni tishio kwake ameamua kumwekea Pingamizi usiku wa jana saa moja. Taarifa za awali...
Mimi ni Mwananchi niishie Dodoma katika walaya ya Mpwapwa, nakaa kijijini naweza kupaita porini kabisa. Tumeishi miaka yote bila huduma muhimu kama maji na umeme ambapo maji tumekuwa tukiyapata...
CCM walipoanza mchezo wa kitoto katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa, hatukujua kwamba tabia hiyo itakomaa. Sasa wameingia uchaguzi mkuu, mambo bado ni hayo hayo! Mtu anavamia fomu ya mgombea, eti...
Media zetu zina kazi kubwa sana safari hii, wakati mapingamizi yaliyowekwa na wakasomewa content na context ya hayo mapingamizi walirekodi na wakawa wanafurahi jinsi hoja zilivyopangwa
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.