Uchaguzi 2020 Mussa Zungu wa CCM amwekea Pingamizi Nicolas Clinton wa NCCR-MAGEUZI

Apr 15, 2015
26
25
Taarifa zinasema baada ya Mussa Zungu kuona Mgombea ubunge wa NCCR-MAGEUZI jimbo la Ilala Nicolaus Clinton ni tishio kwake ameamua kumwekea Pingamizi usiku wa jana saa moja. Taarifa za awali zinasema Dogo ni tishio kwa Zungu kwa sababu hakuna Chama cha upinzani kinaweza kupigiwa kura na wana CCM wengi kama NCCR-MAGEUZI ambacho ni chama kilochoibuliwa juzi na watawala kwa ajili kuudhibiti upinzani.

Ikwembuke Jimbo hilo lina mgogoro wa ndani ya CCM baada ya CCM kumpendelea Zungu na kumuacha Sophia Mjema.
 
Zungu ameshinda kwa nguvu ya pesa na uhusiano wake na watawala wa awamu ya tano, pia ametumia pesa kumsaidia shemeji yake ashinde kura za maoni kata ya mchikichini.
 
Back
Top Bottom