Kwasababu haiwezekani kila kampeni ya kiuchumi, kijamii au kisiasa wanayoianzisha chadema lazima ikwame na kuyeyuka katika mazingira ambayo hayana maeleo. Mathalani, michango ya tonetone ya sasa...
Jina Ramadhan Igwondu (au wakati mwingine likiandikwa kama Ramadhan Ighondo) linajulikana nchini Tanzania likihusishwa zaidi na matukio mawili makuu:
Kashfa ya Kutekwa kwa Dr. Steven Ulimboka...
Huu ni ukweli mchungu, kwa mazingira tulio nayo na siasa za chadema kwa sasa Itafika 2030 tupo hivi hivi,..
Ukawa walifanya kosa kubwa sana mwaka 2012/13 kususia bunge la katiba kwa kigezo kikuu...
Katika kutekeleza majukumu kwa mujibu wa Sheria, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kufuatilia mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia ambapo bei hizo...
Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu.
Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi...
TAARIFA KWA UMMA
Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa...
Taarifa zilizosambaa mitandaoni zinadai kuwa Godfrey Mwambe, aliyewahi kuwa Waziri wakati wa Magufuli ametekwa na kushikiliwa kwa siri Kigamboni huku akipigwa sana na watekaji waliojitambulisha...
Hili ni swali ambalo watu wote majasiri na wenye akili timamu mnapaswa kujiuliza
Hii ni kwa sababu wote wanaotekwa na kupotezwa ni Watanganyika, hill halina ubishi wowote ule, orodha ni ndefu...
Nimeweka Kakura Kadogo Hapo Kaende Pamoja na Swali Letu
Je kwa Upande wa Nchi yetu na Changamoto zetu,Je CCM Ndio Tatizo au Wana CCM Ndio Tatizo?
Kama CCM Ndio tatizo Kikibadilishwa Jana Utakuwa...
Mie si mpenzi wa Vyama ni mpenzi wa wachapa Kazi Kwa ajili ya wananchi
AWESO nakupa Big up sana unapiga Kasi nzuri sana Mungu akubariki
wanaokuangusha ni wajinga wajinga wa mamlaka za maji...
Wanasiasa wanapoanza kufikiria kama wafanyabiashara, si lazima iwe jambo baya—lakini inaweza kuwa hatari sana ikiwa mantiki ya biashara inaanza kuchukua nafasi ya maslahi ya umma.
Kwa kawaida...
Katika Muendelezo wa Mikutano ya hadhara inayoendelea kwenye Oparesheni 255 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , ambayo sasa imeingia kwenye Mkoa wa Katavi, Tundu Lissu ameyataja...
Mtu anawezaje kutumia Busara zake nje ya Mfumo wa kimahakama kuamua au kutoa maamuzi juu ya Kesi ya Ugaidi inayomkabili mtu ?
Nauliza anawezaje yaani ?
Sisi wana HAI tunataka kesi irudi...
Ndugu zangu Watanzania,
Yaani CHADEMA ina vituko ambavyo havijawahi kutokea Duniani. Yaani hiki chama kinachekesha hadi basi. Hiki ni kama chama cha Maigizo . Unaweza kufikiria pengine ni chama...
Hamjambo!
Huyu jamaa bhana. Kiukweli wengi hata wasiompenda, au wanaomuona kama kikwazo. Na wale wanaompenda. Wote tunakubaliana jambo moja, huyu jamaa sio level zetu hasa kimsimamo.
Ni watu...
Gödel's Loophole (Shimo la Sheria la Gödel) ni kasoro au uwazi katika Katiba ya Marekani uliogunduliwa na mwanahisabati na mwanafikra mashuhuri Kurt Gödel mnamo mwaka 1947. Gödel aligundua kuwa...
Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli
Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa +...
Hamna namna yoyote Serikali ya Samia na CCM na Magenge yao yote wanaweza kumpigisha Lissu Magoti.
Huyu Lissu huyu mnayehangaika naye Alishakionja KIFO, kwake Kuishi ni Kristo Yesu ,Hana...