Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote...
Mtakapotoka hadharani kabla kwanza ya kueleza malalamiko yenu na kutokuridhishwa kwa yanayotokea sasa ni vyema kwanza mkatubu na kuomba radhi wote walioteseka na wanaondelea kuuguza maumivu na...
Nauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni
Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana 🙏
Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4.
1. Kulinda mipaka ya Nchi.
2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu.
3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa...
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa...
Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za...
Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake
Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya...
Desturi hii imetuokoa sana sana sana.
Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha...
Wanajamii, je, hili limekaaje? Freeman Mbowe, aliyekuwa mtuhumiwa wa ugaidi na serikali, sasa anaonekana akisimama wazi mbele ya Rais bila ulinzi wowote! Hii inamaanisha nini kwa usalama wa taifa...
Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo...
Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania
Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mambo mbalimbali yanayokihusu chama hiki kikongwe na nimegundua kwamba chama hiki kina matatizo makubwa na ya ukiukwaji wa katiba yao katika maeneo...
Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi.
Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa...
Hali ya kisiasa ndani ya CCM kwa sasa haivutii sana.
Viwango vya ueledi kisiasa umeshuka sana, hadi sasa tumebaki na "wanasiasa mfumo".
Wanasiasa mfumo ni wale wanakuwa recycled toka kazi za...
Habari za Sabato watu wa Mungu,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana,
Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma...
Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.