Tiba ya mchungaji wa Kainsa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ambikile Mwasapile, imeingia dosari baada ya kuanza kupoteza umaarufu na idadi ya watu wanaokwenda kupata kikombe hicho kuanza...
Wakuu, kwa mjibu wa spika wa bunge letu, mzee JS Malecela kafanyiwa operation kubwa(moyo). Hali hii imesababisha mama Anne Kilango kutokuwepo mjengoni tangu awali. Tumwombee mzee wetu afya njema.
Written by Hassan10 // 24/06/2011 // Habari // No comments
Mh kikwete akaguwa mtambo wao mpya wa Gus asilia.
Smz (Wz,bar) tusubiri imani na izini kutoka kwa Mh kikwete na Bunge lake la...
Hii natumaini serikali imewakumbusha mbali kwa kweli
mh mbowe aliitoa hii majuzi wakati akilalama posho za serikali
na kusema inasikitisha kuona jamani kila halmashauri unakokwenda
unaambiwa ati...
Heshima wakuu!
naandika nikiwa na kumbukumbu ya senema ya mchanganyiko wa vionjo vya kibongo na kichina (kichibong) ambapo mhusika mkuu akiwa waziri mdogo wa viwanda na biashara ...
Mwandishi Maalum
1 Jun 2011
Toleo na 188
Ni ‘usanii' wa kusafisha njia kwa anayemtaka 2015
Anayemtaka ni Asha-Rose Migiro?
NI vigumu kuamini kwamba rais wa nchi anaweza kuhusika na...
Kwanini viongozi wa serikali na ccm hutumia lugha ya kiingereza pale wanapotaka kuwadanganya au kuwaficha ukweli walalahoi na lugha ya kiswahili pale wanapotaka kupata sifa au kujikosha kwa...
Hee leo nimeona maajabu ya bunge baada ya mh waziri kushindwa kujibu swali la mh Lissu kwa madai eti ni SWALI jipya, kumbe serikali inataka maswali ya zamani tu.
Hili lilikuwa swali la nyongeza...
Baada ya mbunge aliyechakachuliwa, mwenyekiti wa chadema mkoa wa shy na mjumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, marehemu shelembi kufariki dunia, leo amepatikana mrithi wake. Mrithi wake ni ndugu...
Malumbano yanayoendelea ndani ya Bunge letu tukufu, serikalini na wananchi juu ya posho za vikao si jambo la kufumbia macho, wabunge, serikali na wananchi kwa pamoja wanahitaji kutolea uvivu...
Wadau
kwa wiki tatu hivi nimekuwa nafutilia kisa cha watu waliokuw wanashambulia mitandao na tovuti ya FBI wakaiba data za kampuni za sony. Kwa jina la kitaalam wanaitwa hackers...
Mwandishi Wetu
Dodoma
22 Jun 2011
Toleo na 191
CCM yataka kubadili aliyoanzisha Samuel Sitta
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Wilson Mukama, kimeanza...
CUF, UDP na TLP wanataka pesa za Dowans. Kwanini Wananchi hawakuachagua Wabunge wengi toka hivi vyama? (Chadema viti = 70) Wananchi walishashtuka na kambi za kupandikiza za CCM na kujiita...
In some of my writings I have alluded to one of the most fiery, provocative and incredibly poignant speech by Nyerere to the Tanzanian educated youth. It is one of the few speeches that remains...
UWEZO WA MAKINDA KULIONGOZA BUNGE NI DOGO SANA NA KWA TAARIFA ZA NDANI INASEMEKANA ALIITWA NA KUPIGWA MKWARA MZITO NA WAKUU WA MAGAMBA NA SASA KUNA TAARIFA KUWA HUENDA WAKAMTOA KITINI SIKU SIO...
Wakati Spika anafunga kikao cha Bunge jioni 22/06/11 amesikika akiwatarifu wabunge wote kuwa wamealikwa kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya Taifa la Canada hapo kesho. Kwa maelezo ya Spika ni...
Nyerere alipokuwa kazini ni kazini yaani anapiga kazi kama mzalendo na mwenye uchu wa kuleta mabadiliko , Kikwete yeye ni mtanashati zaidi siwezi kumuita sharobaro maana yeye ni raisi lakini...