Shukrani na maombi kwa serikali ni haki.

zebeya

Member
Feb 23, 2011
42
3
Na imekuwa kawaida kuwasikia wabunge wa CCM bungeni au nje ya bunge wakisema "tunaishukuru sana serikali yetu sikivu" pale inapotimiza wajibu wake.Pia tunaiomba serikali yetu sikivu ifanye hivi na vile....Mimi naona sio vizuri kwa sababu ni wajibu wao.Je,ni haki kuishukuru serikali pale inapotimiza wajibu wake kisheria kwa wanainchi wake?
 
Back
Top Bottom