Kituko-Msafara wa Ghalib Bilal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituko-Msafara wa Ghalib Bilal

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Jun 24, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Jana barabaa ya mwenge pale ITV ulipita msafara wa Makamu wa Rais Bilal...cha kushangaza kulikuwa na matrafik wakizuia magari ili kuupisha msafara na magari yote yalikaa kando. Pikipiki ya ya king'ola ikapita kasi!!
  Sasa cha ajabu kwa mbele kuna gari ya kawaida tu, ikawa inakuja, ile gari ilikuwa na plate No ya kijani, trafic wamejaribu kuisimamisha ile gari haikusimama....na mara ule msafara wa Bilal ukapishana na ile gari. Kilichoendelea mi sijui.

  Swali: Kwanini hii gari haikusimama??(Inasemekana gari za PN ya kijani ni za UN), wamedharau msafara wa makamu wa Rais?? Je kuna sheria yoyote inayotoa jibu ya hii kitu?
  Usalama: Vp kwenye suala zima la usalama??mfano ile gari ingesababisha ajali kuigonga gari ya bilal ingekuaje?? Au tuassume alipanda ile gari ana silaha ya moto kumdhuru Makam wa Rais??
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  plate number za kijani ni diplomatic vehicles, blue ndiyo UN
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,833
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Makamu wa rais alipigiwa kura ktk uchaguzi mkuu?
   
 4. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Sinziga, heshima yako mkuu!

  Nikurekebishe kidogo, PN za kijani siyo za UN, ni kwa ajili ya wale wote wenye Diplomatic Passports/Immunity (other than UN officials with Diplomatic (red) passport)! Kwa mfano mabalpozi wa nchi mbalimbali, maofisa wa balozi mbalimbali zinazowakilisha nchi zao hapa Tanzania and all other Diplomartic Corpse!! (EAC, ESAMI, AU, SAD C etc).

  Inawezekana Traffic alitoa ishara ya kumchanganya dereva, au dereva hakuwa anaelewa taratibu vema, au kuchnganyikiwa tu! Inawezekana pia kwamba alifanya kwa makusudi....hapa ni vyombo vyetu vya usalama kushindwa kufanya kazi kwa umakini!! Kwa muda mrefu nimeshuhudia wakiwaogopa hawa wenye PN za blue (UN) au green (Diplomatic Corpse)...kikubwa ni LUGHA! Na hawa jamaa wameligundu ahilo, wakisimamishwa tu huwa wanatwanga kimombo au kifaransa, kispaniola etc (wakati wakija pale Corner Bar au Jolly huongea kiswahili fasaha kabisa).

  Bado safari ndi ndefu kwa nchi hii...
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Dah nimekusoma mkuu...thanx kwa kunirekebisha...Ila diplomatic vehicle(Corpse)..ningeomba ufafanuzi!! au ndio CIA wenyewe??
   
 6. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Sina uhakika kama alipigiwa!! So u min tumpotezee???au
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Duh hapo laazima lugha iwe 'gongana' tu!!! Hii inanikumbusha India, Polisi za kihindi zikikusimamisha ni kiswahili tu, mwisho wanakuachia huyoooo unapeta.

  Wakiomba license unawapa kitambulisho cha kupigia kura!! Wakicheki adress wanakuta unakaa Kinondoni D wao wanajua Driver Class D!! Haah raha sana!!
   
 8. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  kwani UN agents hawana diplomatic status? Ondoeni hilo neno "diplomatic" katika kuwatofautisha, green, red, etc. wote wana diplomatic designation.
   
 9. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ukitaka traffic akuachie ongea kithungu,ni wachache sana wanao weza kimombo.
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  Sielewi kwanza huyu makamu Ana shughuli gani muhimu mpaka atembee kwa msafara n'a vingora,pili bosi wake yuko huko kwa hao madiplomat anatembeza bakuli halafu huku nyuma makamu aliyemuachia madaraka anataka apishwe njiani na hao wanaaoombwa misaada watampisha kweli?
   
 11. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndugu tuongelee mambo muhimu humu ndani , msafara ni kitu kidogo na cha kijingaa...
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Huyu mtoa mada supu ya pweza imeshamlevya.
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwanza huyu Bilal ana kazi gani?anatia hasara tu serikali we mtu mmoja tena mzee ana wake wawili ndo maana limsafara lake lirefu sana..maana kutwa yuko na wake zake wawili
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Alipigiwa kura kama mgombea mwenza!!
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ana kazi mkuu,anashughulikia suala la mazingira!!
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,399
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa
   
 17. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kigogo, una mambo. Huwa unanipa raha kwa lugha zako. Hahaa!
   
 18. duda

  duda Senior Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  badae pale mwebge walifanikiwa kumuweka pembeni,
   
 19. matuse

  matuse Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mh hivi huyu bilali ni maamuzi gani ambayo anaweza kuyafanya? just thinking
   
 20. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Du mkuu wazidi kukanganya...corpse ni maiti!!!
  Nafikiri ulimaanisha corps
   
Loading...