A.chenge na idriss rashidi kwanini hawakamatwi na kushitakiwa?

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Tumoena jana Warizi wa mambo ya nje Mh B.Membe anavyotetea na kupinga kwa nguvu zote kwamba serikali ya tz haiko tayari kukubali pesa za rada zilipwe kupitia NGO za uingereza.Najaribu kujiuliza kwanini serikali ya tz isiwakamate mara moja A.Chenge na aliyekuwa Gavana wa Bank Idriss Rashidi na kuwafikisha mahakamani?
 
Kwani sheria waliweka za kukamata tu waandamanaji na wapinzani?
 
Back
Top Bottom