CCM hii dhambi ni mauti yenu hapa hamponi

Duma

Member
Feb 27, 2011
46
63
Nchi yetu inaelekea pabaya. Mtu mmoja tena msomi na mwana ccm kama hivi iwapo ccm 2015 itamteua Mwislam au Mzanzibar basi hataichagua ccm bali atachagua chama kingine ambacho mgombea wake ni Mkristo. Alisema yuko tiyari kumumchagua hata E. Lowassa au hata fisadi yeyote kuwa rais ilimladi ni mkristu. Hii imenitisha sana maana tuendako ni hatari.
 
Back
Top Bottom