Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM)...
Wagombea wengi huahidi mambo makubwa wakati wa kampeni kama vile kujenga barabara, ajira kwa vijana, au elimu bure hata kama hawana uwezo wa kutimiza, Uutakuta mbunge anahaadi ujenzi wa barabara...
"Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung'unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung'unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung'unika...
Wakuu,
Baada ya madaftari ya mama kutrend na mitungi sasa ni muda sendo za mama.
Soma pia: Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto...
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa...
Lissu hawezi kamwe kushinda uchaguzi Mwenye kiti CHADEMA hapo januari 2025, licha ya uchaguzi kuwa wa wazi. Sababu ni zifuatazo:
1) Sasa hivi, hii imekuwa ni vita kati ya CHADEMA kanda moja tu...
JARIDA LA IKULU MAWASILIANO TOLEO LA JUNI, 2025
DIBAJI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama mnavyofahamu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani?
Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa...
wakuu
====
kumekucha
Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata...
Ni kweli Serikali na wabunge wana wajibu wana wajibu wa kutekeleza miradi ya maendeleo bila kujali muda na ratiba ya uchaguzi.
Swali langu; Je, miradi hiyo ilikuwa imepangwa kwenye bajeti ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025.
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo...
Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance...
Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua..
Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu Gazeti la Nipashe
Kila msimu wa Saba Saba, mimi zaidi ya kuwa ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, mimi pia ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea...
"Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM...