Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepinga vikali madai kuwa CHADEMA, wanachama na viongozi wake waliafikiana kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema hakuna...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na...
Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo.
Tumuunge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiliko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa.
Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Kwa Maslahi ya Taifa, kwenye Nipashe ya leo
Utambulisho
Japo mnanitambua kama mwana jf mwenzenu, kwenye mada very serious kama ubatili wa Katiba na ubatili wa sheria...
Historia ndiyo Darubini kali iliyomwibua mmoja wa Wanafalsafa wakubwa Ugiriki, ambaye anaweza kutwambia nini maana ya Ukweli na watu wakweli wa wananafasi gani Tanzania na Duniani?
Aristotle wa...
https://youtu.be/8oVTtfCKXO0?si=PKh_LAr4ch4NzT-z
Anasema:
➡Sababu alizozitoa sio za kidiplomasia, ni za hali ya kisiasa na utawala wa ndani ya nchi...
➡Tukio hili la kujiuzulu balozi ni la pili...
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha.
Nilijua Heche...
Tunakumbushana tu Waha wa Kigoma msije kuwachokoza Polisi wanaolinda Karatasi za kupigia Kura baada ya Vituo vya kupigia kura kufungwa na hata wakati wa zoezi la kupiga Kura
Zitto Kabwe...
Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura..
Hivi unalindaje...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu...
CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imeondoa shauri la awali lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima...
Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na...
Nyinyi mnaotaka uongozi na madaraka hiki ndio kipindi chenu lakini jueni neno hili kwamba kamba yoyote iliyohusika ama kutumiwa kumnyonga mtu Hadi kifo au kumuua mtu na bila shaka kamba hiyo bado...
Tunakili kwamba zipo sababu zilizopelekea mwalimu Nyerere kupendekeza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi na sababu kwa kipindi kile zilikuwa na maana zaid kuliko muda huu
KWANZA TUKILI KWAMBA HATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.