britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Tunakili kwamba zipo sababu zilizopelekea mwalimu Nyerere kupendekeza Dodoma kuwa makao makuu ya nchi na sababu kwa kipindi kile zilikuwa na maana zaid kuliko muda huu
KWANZA TUKILI KWAMBA HATA MWINYI ALIHAMIA MIEZ SITA AKAGEUZA HAHAH
SABABU ZA MSINGI ILIKUWA NI
1.Kuweka ukaribu wa kufikika kwa urahisi ofisi mbali mbali za serikali kwa muda muafaka lakin kwa sasa sababu hii haina msingi tena maana kipindi cha mwalimu mambo yote yalifanyika analogically lakini muda huu kila kitu japo kiko centralized lakin kiko kidigitali zaid,
A. haimulazimu mwanafunzi anaye apply chuo kusafiri kwenda TCU iliyo DSM kuapply siku hizi ni kwa njia ya mtandao,
B. haimlazimu mtu anayetaka kupimiwa kiwanja kwenda dar es salaam maana kila mkoa una maafisa ardhi
c.Haimuitaji mtu kwenda dar es salaam kuapata passport au pass ya kusafiria kama zamani maana hata mikoani wanapata na wanatoa,
D. Kuhamia dodoma hakutasababisha watu waacche kwenda DSM kufuatilia Visa kwenye balozi mbali mbali maana balozi zote zipo dsm
E. makao makuu kuhamia dodoma haimaanishi kwamba wafanya biashara wakubwa ataenda dodoma maana dsm ni mji tegemezoi kwa wafanya biashara,
SUALA LA PILI ILIKUWA ULINZI WA RAIS
Kwa zama hizi hakuna haja ya kujificha kwamba ulinzi wa raia au kiongozi wa nchi, kwa kipindi kile ilikuwa rais kuweza kuvamiwa kulingana na hali yetu kiteknolojia ilivyokuwa kwa wakati huo, lakini muda huu kuna ulinzi wa kisasa zaid ya ule wa mwalimu Nyerere,
Mpaka sasa sijaona mantiki ya kulazimisha mji mkuu uwe dodoma wakati hali yenyewe haitaki, ni kuingia gharama tu za bule,
Hebu tuangalie Nchi mbali mbali na miji mikuu yake na umbali kutoka kila mwisho wa nchi mpaka mji mkuu ulipo,
1. INDONESIA
Mji mkuu wake unaitwa Jarkata ambao uko ufukweni kabisa yaan upande mwingine ambao ni mwisho wampaka wa indonesia, Lakini kutoka mwisho mwingine mji waBanyuwangi kwenda jarkata ni masaa 21 na dk 30 (1,066.3 km) ikupitia rata pantura kwa kutumia basi za kawaida na hawana mpango kuubadirisha
2.ICELAND mji mkuu Reykjavík umbali wa kutoka Ölfus mpaka Reykjavík ni 51 Kms au31.689921000000002 Miles lakini kutoka upande mwingine wa nchi
pia kutoka upande mwingine wa Dalvík Reykjavík ni km : 413 km, ni masaa 5 ya kuendesha gari mpaka kule wakati mji mkuu uko upande wa mwisho kabisa
3.FRANCE mji mkuu wake mkuu ni Paris lakin kutoka paris ilipo kwenda mwisho mwingine Loriente ni km 51 na pia kwenda mwisho mwingine ni km 261 unaitwa mji wa pazzy sasa hapo si mnaona kwamba haipo kati kati,
4. FINLAND mji mkuu wake ni Helsinki na Upo kabisa ufukweni mwa bahari ndogo ya baltic kama lakin kutoka hapo kwenda mji ulio kaskazini Näsijärv kwa jina umbal
ni kilometer 171
5. Vile vile ukieangalia Jerusalem nchini ISRAEL haipo kati kati
6.Washington Dc USA haiko katikati,
7.Tallin estonia haiko kati kati
8.Moscow Russia haipo kati kati
9.Malaysia Kuala lumpur mji hauko kati kati
10. Singapore mji wake Changi haupo kati ,
Haisee miji ni mingi, najiuliza sisis tunawaza nini hasa kabisa mpaka tunafika hatua ya kukurupuka kufanya mambo haya
HIVI NI SABABU IPI YA MSINGI YA KUUWEKA MJI MKUU DODOMA?
kama ni kumuenzi mwalimu tumuenzi kwa azimio la Arusha mbona mnalikwepa mnakimbizana na mambo ya ajabu,?
uzi usiunganishwe tupate sababu za msingi plz
maana gharama za kwenda dodoma zingeenda kwenye milion 50 za kila kijiji,
NAOMBA UNAYEBISHI UJE NASABABU ZA KWANINI DODOMA UWE MJI MKUU NA SINGIDA MAANA KAMA NI ISHU YA UKATI KATI SINGIDA NDO KATI , ALAFU KWANINI UNA SABABU ZA KUTOUBAKISHA DAR MAANA KUMEJENGEKA TIYARI