Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu. Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Labda hili jambo ni geni kwa baadhi ya watu, lakini kwa waliokuwa kwenye chama kwa muda mrefu, haya mambo walitakiwa wawe wanayafahamu. Nashangaa kuona watu wanalalamika kwamba wameonewa, ilhali...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
Wakuu Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM. === Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika "Namshukuru Mungu, nimefanikiwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu.. Kama ni kweli, kwanini ? I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Hivi si ingekuwa heri tukajaribu model ya Burkina Faso ama Rwanda kuliko kuwa na kikundi cha watu ambao hawakuchaguliwa na yeyote, lakini pamoja na fadhila hiyo ya kujikuta wapo madarakani kwa...
8 Reactions
5 Replies
492 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepinga vikali madai kuwa CHADEMA, wanachama na viongozi wake waliafikiana kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema hakuna...
2 Reactions
17 Replies
880 Views
Inasemekana kwamba jukwaa hili ndo lina wasomi na wajuvi wa kujenga hoja.Are you practicing what you preach or you are just keyboard warriors?
1 Reactions
3 Replies
322 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na...
1 Reactions
2 Replies
621 Views
Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone. Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo. Tumuunge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiliko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
5 Reactions
14 Replies
523 Views
Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa. Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia...
1 Reactions
2 Replies
357 Views
Wanabodi, Hii ni makala ya Kwa Maslahi ya Taifa, kwenye Nipashe ya leo Utambulisho Japo mnanitambua kama mwana jf mwenzenu, kwenye mada very serious kama ubatili wa Katiba na ubatili wa sheria...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Historia ndiyo Darubini kali iliyomwibua mmoja wa Wanafalsafa wakubwa Ugiriki, ambaye anaweza kutwambia nini maana ya Ukweli na watu wakweli wa wananafasi gani Tanzania na Duniani? Aristotle wa...
5 Reactions
95 Replies
13K Views
https://youtu.be/8oVTtfCKXO0?si=PKh_LAr4ch4NzT-z Anasema: ➡Sababu alizozitoa sio za kidiplomasia, ni za hali ya kisiasa na utawala wa ndani ya nchi... ➡Tukio hili la kujiuzulu balozi ni la pili...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha. Nilijua Heche...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Tunakumbushana tu Waha wa Kigoma msije kuwachokoza Polisi wanaolinda Karatasi za kupigia Kura baada ya Vituo vya kupigia kura kufungwa na hata wakati wa zoezi la kupiga Kura Zitto Kabwe...
7 Reactions
18 Replies
613 Views
Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura.. Hivi unalindaje...
1 Reactions
1 Replies
281 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu...
2 Reactions
166 Replies
8K Views
CCM imepasuka, ndani ya Chama sio wote wanafurahishwa na yatendekayo. Mama mpendwa wa Lucas Mwashambwa (huyu kijana anampenda Mama Abduli kuliko anavyompenda mama yake mzazi aliyepo Ihanda kule...
26 Reactions
61 Replies
4K Views
Back
Top Bottom