Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa...
0 Reactions
8 Replies
80 Views
Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
14 Reactions
58 Replies
2K Views
Mwaka 2024 ungefanya majadiliano na makada wa CCM na Maafisa Usalama wa Tanzania kwamba kuna siku watanganyika wanaweza kufanya vurugu za kutisha, na serikali kufanya mauaji makubwa ya kutisha kwa...
115 Reactions
177 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha. Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi...
7 Reactions
78 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, amesema taarifa zinazodai kuwa Deo Ndejembi anatoka upande fulani hazina msingi, akieleza kuwa Ndejembi ni Mgogo, huku mama yake akiwa anatoka Kilimanjaro...
7 Reactions
93 Replies
2K Views
Wizara ya mambo ya ndichi ina~deal na petty issues….badala ya ku~deal na vitu serious. Waziri una deal na mashalove & Pipitilda badala ya kulinda mipakani huko zinaingia pombe feki daily...
34 Reactions
53 Replies
1K Views
Mtoto wa miaka 5 au 6 anamjua Mwalimu Nyerere, lakini anapoulizwa rais wa sasa anasema hamjui. Video hii si kuhusu mtoto pekee yake; ni kioo cha swali kubwa kuhusu uhusiano kati ya uongozi na...
5 Reactions
7 Replies
246 Views
Wakuu wa mikoa tutawalaumu bure. Asilimia 80% ya uchafu mitaani unatokana na uholela kwenye kujenga na kufanya biashara. Kuna mitaa ambayo gari la taka haliwezi kuingia na kuzoa taka. Nyumba...
4 Reactions
21 Replies
182 Views
Usimchokoze jirani wakati nyumba yako ya kioo,atakupiga mawe avunje nyumba yako.
21 Reactions
59 Replies
2K Views
Odemba: Kama anagekuwa hajajiuzulu Umakamu wa Rais, makosa yake yangebainika yapo kama yalivyo, angefukuzwa uanachama. Na mngefukuza siku ile ile ambayo mlifanya kikao na kutoa taarifa ya kwamba...
4 Reactions
5 Replies
211 Views
Katika hali ya kushangaza, wakati manispaa zinatakiwa zisafishe mitaro ya maji ya mvua, manispaa ya Temeke imeamua kuziba mitaro hiyo ya Mbagala Rangitatu Biasi ili maji yasambae barabarani! Nini...
1 Reactions
5 Replies
147 Views
Naomba kukujulisha kwamba tulipokea barua yako uliyoandika tarehe 27/4/2026 na kupokelewa na mwenyekiti wa tawi tarehe 7/5/2026 ukitaka kupata ukweli na usahihi wa barua iliyokuwa na kichwa cha...
0 Reactions
16 Replies
269 Views
Rutto kawafukuza Tata Chemicals waondoke Kenya Halafu wametokea wanaharakati wengi from the woodwork wanamwambia kwamba anawafukuza from underhanded motives Nasikia Ruto kabadili uamuzi wake .
0 Reactions
1 Replies
87 Views
  • Featured
Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Philip Mangula, amesema hayo Septemba 4, 2026, wakati akihojiwa kupitia Clouds Media. "Magufuli alikuja nyumbani kwangu hapa Osterbay siku moja ya...
23 Reactions
49 Replies
2K Views
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia...
3 Reactions
74 Replies
475 Views
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa January Makamba Mwigullu Nchemba Bernard Membe Hamiss Kigwangalla Tundu Lissu Paulo Makonda Kwakuwa hawa ndio...
31 Reactions
144 Replies
19K Views
kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali...
31 Reactions
44 Replies
3K Views
Twende Gogoni usiku huu Twende alipo Lissu Nyumba ya Mafwele Nyumbani kwa Muliro Tumechoka! Tunataka mateka wote wakiwa live Britanicca
18 Reactions
18 Replies
883 Views
Walisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazo...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe. Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili...
46 Reactions
117 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…