Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA Kanda ya Pwani imesema Polisi Mkoa wa Kinondoni inawashikilia Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Kunduchi, Emmanuel Khatib, pamoja na Saida Said Lipula, waliokamatwa jioni ya Septemba 8, 2026...
2 Reactions
5 Replies
260 Views
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa...
15 Reactions
101 Replies
12K Views
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa...
12 Reactions
119 Replies
2K Views
Tunaomba,serikali ituambie imepata faida na hasara kiasi gani kwa ndege zetu kwenda urusi!
9 Reactions
79 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakuu, Tanzania ni nchi yenye Utawala wa Sheria. Kwamba, kila mtu aliyepo nchini Tanzania, regardless status yake, anakuwa governed na sheria za nchi. Lakini mara nyingi sana huko barabarani...
0 Reactions
– Replies
– Views
Vitabu vya dini vinatufundisha tuwe na kiasi, lakini hii familia imezidi hata hicho kiasi. Kuanzia Baba wa familia, mama wa familia, watoto wote wa familia, nasikia vijukuu wengine ni viongozi wa...
10 Reactions
20 Replies
339 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15...
16 Reactions
224 Replies
16K Views
Nimekuwa nikifuatilia taarifa mbalimbali mitandaoni hadi sasa nimegundua kuwa taarifa inayofatiliwa kwa kiwango kikubwa ni kesi ya mchongo aliyobambikiwa Jabali la siasa ambapo hata machawa...
2 Reactions
7 Replies
157 Views
Katika historia ya ulimwengu na bara la Afrika, wapo marais na viongozi wa kidikteta wanaofahamika kwa kutesa, kuua, na kukandamiza wananchi wao ili kubaki madarakani. Hapa kuna baadhi ya...
20 Reactions
65 Replies
991 Views
TURAHISISHE MAISHA: STENDI YA MAGUFULI ISIWE MWISHO WA UBUNIFU WA USAFIRI DAR ES SALAAM Na GULATONE MASIGA Uamuzi wa Serikali wa kuimarisha matumizi ya Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli iliyopo...
6 Reactions
8 Replies
297 Views
au nimepitwa labda, mambo ni mengi na yanakwenda kwa kasi sana, inawekunaje huyu "mwamba" asionekane popote kwenye msiba huu mzito wa kitaifa? ...
4 Reactions
17 Replies
298 Views
Tafadhali my friends, ladies and gentlemen, Mzee aachwe apumzike na kuipambania afya yake. Asihangaishwe na wanasiasa au wanaharakati kwa maslahi ya siasa au harakati zao. Ni vizuri familia yake...
0 Reactions
18 Replies
182 Views
Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana...
1 Reactions
13 Replies
363 Views
Copy and Paste ya mfumo wa UK ilimgomea, maana wanzanzibar hawakuwa wajinga pia. MUHIMU KUJIFUNZA: Tofauti kati ya wenye akili Nchi 4 zenye chumi kubwa zinaungana na kuunda serikali kuu moja, na...
2 Reactions
0 Replies
69 Views
Muktasari: Shahidi wa tatu wa utetezi, Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Baada ya maswali ya dodoso kutoka upande wa mashtaka na maswali ya...
3 Reactions
2 Replies
440 Views
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini. Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye...
16 Reactions
149 Replies
1K Views
Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni. Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu...
2 Reactions
9 Replies
125 Views
Mzee Warioba amedondoka gafla wakati anatoa hotuba yake TCD. Mungu amsaidie
1 Reactions
58 Replies
1K Views
  • Featured
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama...
3 Reactions
10 Replies
805 Views
Wakuu, JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake. Nilijua hapa anao ujumbe fulani...
96 Reactions
460 Replies
80K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…