missing in action!

missing in action!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,638
Reaction score
18,315
au nimepitwa labda, mambo ni mengi na yanakwenda kwa kasi sana, inawekunaje huyu "mwamba" asionekane popote kwenye msiba huu mzito wa kitaifa? ...

1788929434165.png
 
Ukichagua kazi za kufanya utasema ajira hakuna.

huo ushauri ni mzuri na rahisi kuutoa ukiwa na ajira na umeshiba, kwenye nchi ambayo on average kwa 1 position kuna >100 applicants, lkn bado watu wanaambiwa wanachagua kazi, walioshiba tu ndiyo husema hivyo ...
 
Mimi sijaaliwa nipo na kazi zangu ukiamini utapata ajira kwa Nchi zetu hizo zenye mifumo ya kupata kazi kwa kujuana utatangaza sana kuwa hauna ajira...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kuwa nyumbu ni mzigo ambao naomba Kila siku mwenyezi Mungu aniepushe, Mimi na kizazi changu.
Sio kujiepusha kwa kuandika tu humu ni matendo ambayo yawepo kwa vizazi vijavyo yaendelee sijui kama ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom