Ujumbe kwa CCM

Ujumbe kwa CCM

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,309
Reaction score
11,659
Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.

Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.

Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.

Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
 
CCM yenyewe imetekwa na genge la wanamtandao hao ndiyo wamejimilikisha keki ya Taifa na ukiwagusa tu unatekwa, unalawitiwa,unapotezwa na hata kuuliwa kabisa.
 
Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.

Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.

Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.

Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
 
Attachments

  • Mwendokasi _20260908_154513_0000.png
    Mwendokasi _20260908_154513_0000.png
    1.3 MB · Views: 1
Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.

Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.

Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.

Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
Hilo CCM mbona I alifanya na ndio maana inakubalika nchi nzima?
 
Una uhakika?

Nachojua Mimi wanaokiunga mkono CCM wengi ni masirahi tu.
Kwani Heche anakiunga mkono Chadema kwasababu gani kama sio Maslahi tu? Ana kazi gani anayofanya na kulipwa ujira zaidi ya kuropokaropoka Chadema ili ahalalishe malipo na watoto wake waende choo? Niambie?
 
Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni.

Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea.

Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote.

Naamini kabisa hata bila CCM kuwepo madarakani Bado tutafaidi sote inchi ukiwa na umoja. Hata CCM watafaidi.
CCM walishaamua kuwa Madikteta, kwahiyo hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 
Back
Top Bottom