Mwenyezi Mungu ampe nafuu mzee wetu WariobaMzee Warioba amedondoka gafla wakati anatoa hotuba yake TCD.
Mungu amsaidie
Sasa kwa nini hukufungua uzi “ili wasaidizi wake wamasaidie?”Wakati anaongea pumzi yake ilikuwa inakata taratibu na nilishangaa hakuna aliyekuwa ana notice upumuaji wake. Nilitamani hata kufungua uzi hapa wasaidizi wake wamsaidie
Ametoka akitembea mwenyewe akisaidiwa na wasaidizi na mama TibaijukaWarioba keshaondoka