Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge. Kwa upande wa...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa. Kutokana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa...
17 Reactions
162 Replies
12K Views
Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua...
2 Reactions
12 Replies
664 Views
Hili liko Wazi, Kwa Kisesa huwezi itenganisha na MPINA, MPINA ndio Kisesa na Kisesa ndio MPINA. Kama CCM wanamkata MPINA mwenye Jimbo lake, maana yake hamna mwanaCCM pale anayekubalika, hii...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu tuwachukulie Watu Hawa Makamba na Mpina kama ndo Subjects wetu. Siasa za Makamba, zilijikita kwenye Harakati za chini chini, hakua anamkosoa Rais Samia kwenye Vyombo vya habari, in fact...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
GT. Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja. Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda...
11 Reactions
21 Replies
899 Views
Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni hapa Iringa mjini Soko limejengwa kwenye kiwanja cha Bakwata na limeteketea lote Tuzidi kuwaombea Vijana wetu Ahsanteni sana
0 Reactions
7 Replies
360 Views
Mh Rais umguse katika nyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha Sisemi kuwa ataweka mradi Fulani ila anaenda kuboresha,ameweka mkono katika Kila nyanja ya maisha watanzania...
0 Reactions
22 Replies
626 Views
Kiukweli wajumbe wa CCM wanafanya Kazi njema. Leo watu wenye bar watapiga Sana hela Arusha.
0 Reactions
12 Replies
811 Views
Dr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!. Inawezekana...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kumbukizi, Wabibi wa kichaga uko moshi vijijini wanasema walimchagua mbunge akarudi kuwaonesha kitambi hakuna kitu amewasaidia Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
5 Reactions
7 Replies
747 Views
Julias Mwita ajiweka pembeni na siasa Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo...
14 Reactions
46 Replies
4K Views
Anaandika Mkurugenzi wa THRDC Onesmo Kasale Olengurumwa kupitia ukurasa wake wa Instagram: ==== Sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za Chama Cha Mapinduzi CCM...
2 Reactions
12 Replies
912 Views
Jana kumetolewa taarifa kwamba CCM itakutana na changamoto kubwa katika Jimbo la Kisesa, wilaya ya Meatu, mkoa wa Simiyu. Kulingana na habari hizo, hakuna upigaji wa kura za maoni utakaofanyika...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
1. You are a very resourceful person. 2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama. 3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za...
13 Reactions
80 Replies
3K Views
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability. Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania. Watanzania wanaanza...
85 Reactions
238 Replies
15K Views
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika; "Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa, Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…