Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddy Kimanta amesema suala la udumavu linaweza kuwa chanzo cha kupata Viongozi ambao wanashindwa kufanya maamuzi.
Amesema hayo wakati wa...
Zimebaki siku kadhaa kuelekea kutafuta HAKI. Bila shaka muda huu upande wa mashtaka wanapanga namna ya kupeleka maombi ya kupeleka mbele kesi. Wanafanya hivyo kwa sababu waendesha mashtaka hawana...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema
kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda.
Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025...
Askofu amesema kuwa mauaji ambayo yameendelea kusikika mpaka sasa haijawa haki watu wanyamaze, ameongeza kuwa 'Kama mauaji yanatendeka, si yanatendeka, hatusemi wewe ndiye unayatenda, lakini si...
Wakuu!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo...
Mkuu wa mkoa Mh Albert Chalamila amesema Wanasiasa ndio hao hao Waumini wa Kanisani na Waumini wa Kanisa wapo Siasani hivyo ushirikiano ni muhimu
Chalamila alikuwa akiongea kwenye kongamano la...
Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni...
Dar es Salaam, 9 Julai 2025 – Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua...
Huyu alikuwa anamchukia Magufuli kuliko kawaida
Ilikuwa ni chuki binafsi
Utekaji umeisha?
Watu ndio kwanza wanatekwa na kupakwa mafuta na kufirwa na kubakwa
Halafu anatetea watu Kama hawa...
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused...
Kwa Mara ya Kwanza Barani Afrika
Wanafunzi wa Misri Wazindua Mpango wa “Diplomasia ya Afya”
Kairo ilishuhudia uzinduzi wa toleo la kwanza la Mpango wa “Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba”...
https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3
Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza..
Kwa ufupi sana Martha Karua anasema:
• Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili...
MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na...
Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki Kongamano kuhusu Kukuza Huduma za Afya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameipongeza Msumbiji kwa kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru.
Pongezi hizo amezitoa kwenye hafla...
TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO LA TUME KUHUSU MALALAMIKO YA KUPIGWA KWA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO LINALODAIWA KUFANYWA NA ASKARI WA MAMLAKA WA MJI MKONGWE ΚΑΤΙΚΑ ENEO LA DARAJANI, WILAYA YA...
Miaka mitano hii imepita ni miaka migumu sana, sheria za hovyo zimepitishwa ndani ya Bunge, leo hii matukio ya utekaji yameongezeka mnaambiwa watekaji ni watu wasiojulikana, leo hii Usalama [Wa...
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo...
08 Julai 2025
Tanzania, Oman zinashinikiza kuwepo kwa makubaliano ya haraka ya kazi ili kuwalinda wafanyakazi wahamiaji
Kurasimisha makubaliano na Oman kungeashiria hatua muhimu ya kuimarisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.