Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus...
12 Reactions
106 Replies
9K Views
Mbunge yoyote upimwa kwa (I)mchango yake Bungeni katika kusimamia Serikali(II)Uwezo wa kufanya "mobilisation" ili kuweza KUSUKUMA Maendeleo katika Jimbo lake na (III)mara ngapi amechangia Bungeni...
1 Reactions
10 Replies
710 Views
Naona kuna clip ikisambaa kwa kasi sana mitandaoni Tunaye hapa Jf anaweza kuja kutufafanulia Ni hilo tu Nawatakia Sabato njema 🙏😄🇹🇿
1 Reactions
8 Replies
486 Views
Wanafunzi wa chuo cha VETA Geita kilichopo kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusogeza huduma ya masomo bure katika chuo hicho...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Naomba kujuzwa na wajuzi wa dini Askofu Bandekile Mwamakula yule anayeshinda na CHADEMA hana waumini Tanzania anaowasalisha Hata mahali pa kuabudia hana inakuwaje anaitwa Askofu?
0 Reactions
35 Replies
2K Views
== Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Viwanja vya...
12 Reactions
116 Replies
4K Views
"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na...
0 Reactions
10 Replies
544 Views
Igwee naona mna nangana mnapashana na hata kuumizana kisa 2025 ajaye wanamjua na ndie Rais wa sasa wanaosema maneno hayo ni viongozi wa kisiasa na Serikali na wengi wao sio very highly ranking...
25 Reactions
163 Replies
17K Views
Tundu lissu Leo amefanyiwa vitu vinavyoashiria hukumu ya kesi yake askari magereza wanaijua tayari,!! Nikama tundu lissu tayari amehukumiwa, ni mfungwa na Hawa askari wanamuescot tundu ni kama...
13 Reactions
35 Replies
2K Views
Tanzania na Ethiopia zasimika mikakati ya kukuza ushirikiano wa kiuchumi Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Mawaziri wa Umoja wa Afrika, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
3 Replies
308 Views
Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?! Huyu dada anaitwa nani?
24 Reactions
165 Replies
9K Views
== Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya...
23 Reactions
157 Replies
6K Views
Takwimu zinaonyesha ongezeko kubwa la uwekezaji katika miradi ya sekta ya uzalishaji kati ya mwaka 2020 na 2024. Mwaka 2020, thamani ya uwekezaji katika sekta hiyo ilikuwa dola za Marekani milioni...
1 Reactions
69 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho waliokabidhiwa jukumu la...
2 Reactions
4 Replies
489 Views
Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka. Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani? Je...
2 Reactions
4 Replies
401 Views
Imeelezwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kigoma kimekamilisha hatua muhimu ya mchakato wa ndani wa kisiasa kwa kuchuja na kupendekeza majina ya wanachama wanaowania kugombea nafasi ya...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana Copy and paste CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana. 2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. NB: ushindi si chini 90% Kwa...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika kikao cha 47 cha...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika...
2 Reactions
14 Replies
883 Views
Back
Top Bottom