DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,356
- 83,328
Kiukweli wajumbe wa CCM wanafanya Kazi njema.
Leo watu wenye bar watapiga Sana hela Arusha.
Leo watu wenye bar watapiga Sana hela Arusha.
Una hakika wako huru katika kufanya maamuzi?Kiukweli wajumbe wa Ccm wanafanya Kazi njema
Kama walimpitisha saa100 bila kuonja ladha ya mchujo wa tatu bora me naona wanafanya Kazi ya hovyoKiukweli wajumbe wa Ccm wanafanya Kazi njema
Mkuu Mimi namaanisha hawa wajumbe wadogo na sio wa mkutano mkuuKama walimpitisha saa100 bila kuonja ladha ya mchujo wa tatu bora me naona wanafanya Kazi ya hovyo
Kama wana mkata mpina hao hamna kitu wanafuata maelekezo tu maboya haoMkuu Mimi namaanisha hawa wajumbe wadogo na sio wa mkutano mkuu
AhaaaaKama wana mkata mpina hao hamna kitu wanafuata maelekezo tu maboya hao
Bado wajumbe hawajafanya chochoteMkuu Mimi namaanisha hawa wajumbe wadogo na sio wa mkutano mkuu
Bado wajumbe hawajafanya chochote
Mchujo wa Sasa ni wa kamati ya wilaya na mkoa, baada ya hapo ndio kwa wajumbe
Hili zoezi kila mtu anataka kulizungumzia alafu hamuelewi mchakato ulivyo
Wajumbe nao wanaogopa kuteseka ndio maana huwa hawa kosei ila ndio basi tena kikiem ni kikiem tu😂😂😂😂Kiukweli wajumbe wa CCM wanafanya Kazi njema.
Leo watu wenye bar watapiga Sana hela Arusha.
Sasa mbona mada yako iko tofauti. Maana wajumbe bado, ulipaswa usifie kamati za wklaya na mkoaNaelewa Mkuu
Mchakato upo hivi
Ngazi ya wilaya
Ngazi ya mkoa
Then Taifa na baadae wajumbe