Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Takwimu zinaonyesha ongezeko kubwa la uwekezaji katika miradi ya sekta ya uzalishaji kati ya mwaka 2020 na 2024. Mwaka 2020, thamani ya uwekezaji katika sekta hiyo ilikuwa dola za Marekani milioni...
1 Reactions
69 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho waliokabidhiwa jukumu la...
2 Reactions
4 Replies
489 Views
Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka. Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani? Je...
2 Reactions
4 Replies
401 Views
Imeelezwa kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kigoma kimekamilisha hatua muhimu ya mchakato wa ndani wa kisiasa kwa kuchuja na kupendekeza majina ya wanachama wanaowania kugombea nafasi ya...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana Copy and paste CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana. 2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. NB: ushindi si chini 90% Kwa...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika kikao cha 47 cha...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika...
2 Reactions
14 Replies
883 Views
DKT SAMIA MITANO TENA NA MIMI BADO NAUHITAJI UBUNGE WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kuendelea kuitaka nafasi ya Jimbo la Ruangwa, anakowakilisha hadi sasa aidha na kusema Rais Dkt...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Dk Charles Kitima amesema uadilifu wa uchaguzi umeshuka nchini, jambo linalotishia kuwepo kwa uchaguzi ulio huru na wa haki...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/live/mAyL2E4ozFY?si=989f6lx54eyphlzX POLISI WAACHE KUINGILIA MCHAKATO WA UCHAGUZI Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kuwa Jeshi la Polisi kupitia Makamanda wa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri. Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo...
18 Reactions
57 Replies
7K Views
Kijana wa miaka 25 anakufa bila kuugua Tena kwa uzembe wa kutookolewa Nimeona jumbe za watu waliopo kwenye vifusi nimelia Sana Mimi ni mwanaume lakini ukweli nimejaribu kuvaa viatu vya kijana...
26 Reactions
75 Replies
4K Views
Mkuu wa utawala wa ijeshi nchini Mali Assimi Goïta siku ya Alhamisi ameidhinisha sheria inayompa mamlaka ya miaka mitano ya urais, ambayo yanaweza kufanyiwa upya "mara nyingi inavyohitajika" na...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Chadema na watu wao walipitisha tetesi eti kwamba kuna mpango wa kumuwekea sumu ndugu Lissu. Hizi ni tuhuma mbaya. Nilitarajia watu wanaomsogelea Lissu Mahakamani wawe regulated na vyombo vya...
0 Reactions
4 Replies
426 Views
Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma...
12 Reactions
87 Replies
7K Views
Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, akiwa kizimbani Mahakamani, aliingia kwenye mvutano mkali na Askari Magereza wakati anajadiliana jambo na Mawakili wake ambao inadaiwa kuwa...
26 Reactions
100 Replies
7K Views
Hivi kwanini kazi ya ubunge isiwe na kipindi cha kujitolea kama kazi zingine? Mtu akishachaguliwa ajitolee mwaka Mmoja au miwili baada ya hapo akiwa ameonesha uwakilishi mzuri apewe ajira Kwa...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
DONDOO ZAKE: * Bado CCM ndio chama chenye uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 75% * Ni ngumu kufanya mabadiko ya Katiba ndani ya kipindi hiki kuelekea uchaguzi * Kanisa Catholic halijawaambia...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona...
19 Reactions
106 Replies
3K Views
Back
Top Bottom