Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt...
14 Reactions
189 Replies
18K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa...
0 Reactions
13 Replies
701 Views
Aliyekuwa diwani wa kata ya Kitandililo Imani Fute,akieleza sababu za kutochukua fomu ya kuomba kuteuliwa ili kugombea tena nafasi hiyo. Diwani wa kata ya Kitambilo aliyemaliza muda wake, Imani...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Zitto na chama chake wanashambuliq CHADEMA badala ya CCM sijaona point za msingi kuhusu mikakati ya kulinda kura ni vipi watalinda kura hawasemi wao ni kuwachamba chadema tu. Sijaona kampeni za...
6 Reactions
65 Replies
2K Views
Nimeogopa sana Hivi Chadema ya akina Mwamba ilikuwa Dikteta Mtu au Dikteta Familia? Nimeuliza kiutafiti zaidi Ahsanteni sana Mlale unono 😄
1 Reactions
5 Replies
562 Views
Hili nalo lina ubishi? Famili ya mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Dismas Soka hii ni mifano tu ya kutoa. Je Padre Kitima anakosea anaposema kuna akina Lissu na wengine wengi wapo magerezani kwa...
1 Reactions
3 Replies
441 Views
Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo. Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
My Take Hakuna Mkoa ambao Hauna mali Kwa Tanzania ila Mkoa wa Lindi unaenda kuwa kitovu cha Madini mkakati Tanzania kama -Graphite -Nickel -Gypsum -Gesi asilimia Ikumbukwe LNG plant yenye Thamani...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Serikali imekusanyika Tanganyika Packers, Kawe kuzindua Kanisa la Arise & Shine la Boniface Mwamposa. Televisheni ya Taifa ipo mubashara (LIVE). Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam...
28 Reactions
104 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiona vyaelea Ujue Vimeundwa ,ukiona miradi ya maendeleo inachipua na kumalizika kwa uharaka ,ufanisi na kwa kupendeza ujue juu yake kuna mikono ya Rais Samia ,ukiona...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Je angekuwa anajiandaa kumpisha Rais mwingine? Je angekuwa kashabadili katiba? Je uchumi ungekuwaje? SGR ingekuwa imefikia wapi? Hali ingekuwaje?
0 Reactions
9 Replies
356 Views
NOTISI YA UTEUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI YA MWAKA 2025 Jina 1. Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Wandugu, huyu aliyekuwa Mkurugenzi wa TRC ni kuwa alitumbuliwa kwa kuvurunda huko au anasubiria kupangiwa majukumu mengine makubwa.... Binafsi naweza kumpa maua yake kwa kusimamia uanzishwaji wa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka 2015 kurudi nyuma wanachama wote wa CCM walikuwa wana haki ya kuchagua wagombea ubunge na udiwani, kuanzia mwaka 2020 ikawa wajumbe tu ndio wana haki ya kuchagua wagombea, Sasa...
1 Reactions
8 Replies
674 Views
Hizi ni salaam zangu kwa Katibu Mkuu wa CCM (ambaye kimsingi ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli za chama. Pamoja na kwamba binafsi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ni muumini wa siasa za...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Mtu ambaye hawezi hata kumshauri mke wake kwamba hili siyo sawa, ndio kuna watu eti mnategemea huyu Mzee anaweza kumshauri Rais kwamba hili siyo Sawa? Picha ina ujumbe mrefu zaidi ya maneno hata...
44 Reactions
104 Replies
6K Views
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika...
15 Reactions
86 Replies
5K Views
Hakuna jambo lingine ACT wazalendo wanalitafuta zaidi ya kutaka Pesa za ruzuku na pesa za kujikimu wakipata wabunge,Wanahamasisha Raia waliokata tamaa ili wawatumie kwa maslahi yao binafsi siku ya...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Back
Top Bottom