Mkutano wa kujadili mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anatarajiwa kuwa...
Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam.
Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu...
Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele.
Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini.
Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi.
KWA HISANI YA MTU WA...
Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa.
Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi...
Japokuwa Askofu Gwajima alisema anaongea kama raia wa kawaida lakini mifano yake ilionyesha anaongea kama mwanasiasa baada ya kuwataja akina Abdul
Lakini huyu Padre Kitima wa Kanisa Moja Takatifu...
Ikumbukwe kuwa Vyama vyenye tabia ya kusajili Wanachama maprofesa na graduates ni CCM na Chadema pekee vilivyobaki hupendelea kusajili kwenye nyumba za Ibada kama CUF, ACT wazalendo, Chaumma nk…nk...
Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa...
Aliyekuwa diwani wa kata ya Kitandililo Imani Fute,akieleza sababu za kutochukua fomu ya kuomba kuteuliwa ili kugombea tena nafasi hiyo.
Diwani wa kata ya Kitambilo aliyemaliza muda wake, Imani...
Zitto na chama chake wanashambuliq CHADEMA badala ya CCM sijaona point za msingi kuhusu mikakati ya kulinda kura ni vipi watalinda kura hawasemi wao ni kuwachamba chadema tu.
Sijaona kampeni za...
Hili nalo lina ubishi? Famili ya mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Dismas Soka hii ni mifano tu ya kutoa.
Je Padre Kitima anakosea anaposema kuna akina Lissu na wengine wengi wapo magerezani kwa...
Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu
Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo.
Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira...
My Take
Hakuna Mkoa ambao Hauna mali Kwa Tanzania ila Mkoa wa Lindi unaenda kuwa kitovu cha Madini mkakati Tanzania kama
-Graphite
-Nickel
-Gypsum
-Gesi asilimia
Ikumbukwe LNG plant yenye Thamani...
Serikali imekusanyika Tanganyika Packers, Kawe kuzindua Kanisa la Arise & Shine la Boniface Mwamposa. Televisheni ya Taifa ipo mubashara (LIVE).
Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona vyaelea Ujue Vimeundwa ,ukiona miradi ya maendeleo inachipua na kumalizika kwa uharaka ,ufanisi na kwa kupendeza ujue juu yake kuna mikono ya Rais Samia ,ukiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.