Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.
Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa...
Kwa wataalamu wa mambo ya utawala msemaji mkuu wa baraza la Maaskofu katoliki ni nani? Katibu mkuu au Mwenyekiti?
Sababu inashangaza kidogo .Makanisa mengine katibu mkuu huwa hawi msemaji mkuu...
Katika harakati zangu leo nilifika hadi stendi ya Tegeta Nyuki ni moja ya stendi kubwa sana lakini ni stendi ambayo imetelekezwa kwa muda sana bila kufanyiwa ujenzi hata kidogo.
Lakini leo...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu.
"Si jambo...
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu.
Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka...
Viongozi na wanachama wa CHADEMA katika mikoa ya Kanda ya Nyasa na wananchi mbalimbali wamejitokeza katika Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya kwa ajili ya kusikiliza shauri la maombi ya mke...
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT...
Nakumbuka Mwamposa alivyokuja Iringa baada ya rafiki yangu Dibo Kasesela kuwa ametumbuliwa ile Ibada yake ilisababisha shughuli zote zisimame Siku hiyo
Nikaja kukutana tena na Ibada ya Mwamposa...
Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth...
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa...
CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje...
Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia...
Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM. Leo akina mama wakienda kujifungua wanaambiwa lete beseni, lete wembe, lete mpira, lete sindano. Walitakiwa wakivikute hospitali.”...
Salute to you all hustlers .....
Direct to the topic,
Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k.
Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka...
Wakuu,
https://www.youtube.com/watch?v=-JGia_qHgj8
Updates
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua...
Chombo hiki TANROAD kwa miaka kadhaa sasa kimekuwa kikichangia ukuaji wa uchumi, maendeleo ya watu na kurahisisha maisha yao kwa kutenda majukumu yao hata kama sio kwa 💯 % bali kwa kiasi kikubwa...
Katika game changers wa uchambuzi mitandaoni, huyu mwamba anakuja juu sana, anatupia mawe ya kufungua akili, hebu mfuatilie YouTube, hutojuta.
Big up sana kwake. Hii ni YouTube channel yake
Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM,
Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.