Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UKAWA na CCM walitutia hasara ya mabilioni baada ya kukwamisha mchakato wa kuandika Katiba mpya uliotumia mabilioni yetu ya fedha. UKAWA na Mzee Warioba walitaka Muungano na serikali tatu na CCM...
1 Reactions
4 Replies
126 Views
Mathalani, Mwenyekiti wa chadema taifa ni mtoro kazini na hakuna maelezo yoyote ndani ya chama hicho juu ya utoro huo na kwamba yupo wapi mpaka sasa, na wala hakuna sababu za msingi zilizoelezwa...
3 Reactions
69 Replies
927 Views
Mahakimu dhamiri zenu ziwasute kwa kuhukumu Uongo. "Mtu mwema, mtu mnyofu, mtu wa Mungu amehukumiwa na binadamu, mamlaka ya kibinadamu afe, atoe roho yake. Anashtakiwa kwa kusingiziwa, sio...
11 Reactions
17 Replies
523 Views
Julai 10 Kikundi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Ministerial Action Group - CMAG) kilitoa mrejesho wa ziara ya mwakilishi wake, Dk Lazarus Chakwera aliyekuja nchini Machi 2026...
19 Reactions
31 Replies
936 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa Unaweza kusema Kuwa CHADEMA wameamka kutoka usingizi wa Pono ,kwa sasa wameanza kuzinduka ,wameanza kuutambua ukweli ,wameanza kujua mbivu na mbichi. Hii ni...
0 Reactions
14 Replies
172 Views
Ili kuweka kumbukumbu sahihi na kuwaeleza vizazi vyetu, jinsi tulivyokosea katika utunzaji na usimamizi wa mali na rasilimali alizotupa Mwenyezi MUNGU ni vizuri kuandika, kutunza na kuweka...
1 Reactions
10 Replies
200 Views
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu.. Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha...
34 Reactions
90 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema, kati ya jambo ambalo halipaswi kuchezewa ni Muungano ambao unatakiwa kulindwa na kila mmoja...
1 Reactions
0 Replies
44 Views
Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni...
4 Reactions
2 Replies
61 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema kuwa Serikali imekamata mtu aliyekuwa anaingia na silaha, tumewakamata wengine...
26 Reactions
153 Replies
3K Views
Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea...
21 Reactions
43 Replies
1K Views
My Take Wale wa Bandari imeuzwa wanaitwa huku waone aibu πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ https://www.instagram.com/p/DaLFTfECNDK/?igsh=MXR1anR4a3ZpbHF0Zw== Mabadiliko ya ushindani wa bandari katika Afrika Mashariki...
3 Reactions
22 Replies
349 Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amesafiri kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya kushiriki katika mkutano mkuu kuhusu Afya nchini GhanaSource: Millardayo
1 Reactions
8 Replies
160 Views
Msuguri na Mahundi wasingeruhusi huu ujinga wa kuiba kura. Hawa Wazalendo wasingekubali hilo.
7 Reactions
24 Replies
294 Views
Ego ya Mama Samia imezidi hata ya Magufuli ndiyo tatizo kubwa pamoja na rushwa. Magufuli alikuwa na ego za kielimu alithamini sana kwamba alikuwa kipanga lakini Mama kutokana na utamaduni wa...
11 Reactions
11 Replies
267 Views
Kama ishara ya kuridhishwa na kile kinachofanyika, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu amemtaka Makamu Mwenyekiti wake Bw. John Heche kutia bidii zaidi kwenye kile...
12 Reactions
13 Replies
407 Views
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili...
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri. Anatakiwa achague moja, 1. kumwachia Lissu au 2. kuendelea kumshikilia. Samia...
42 Reactions
106 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
19 Replies
552 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…