Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mzee Wasira alibainisha hivi karibuni, kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinao wanachama hai wasiopungua milioni kumi na tatu. Sote tunajuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu chaguzi zake...
13 Reactions
22 Replies
1K Views
Tembelea, Kijiji Cha Itumbi, kilichopo kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Kuna wachina ambao ni wa Tanganyika na wanajiandaa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi (...
24 Reactions
69 Replies
5K Views
Aliyekua Waziri wa uchumi wa Ujerumani na baadae Counsellor ambae alifufua uchumi wa Ujerumani baada ya kuharibiwa na vita ya Hitler alindika kitabu chake kinachojulikana kama "Prosperity through...
4 Reactions
6 Replies
447 Views
NAMUUNGA MKONO MWIGULU NCHEMBA Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amependekeza jambo lenye uzito mkubwa wa kiheshima, uzalendo, na uhamasishaji wa uwajibikaji wa raia. Wazo lake la kuweka mabango...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa...
1 Reactions
1 Replies
238 Views
Ni kwa nia njema ya kuwajulisha wasiomjua Martha Karua hasa upande wake wa uovu. Mwaka 2007 hadi mwanzoni mwa 2008 kulitokea machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
0 Reactions
15 Replies
619 Views
Angalia kwa Umakini halafu toa Maoni yako Picha ya Chini ni Mwananchi Akifuatilia Spana za Chadema bila kujali Mvua kubwa kwenye moja ya Mikutano ya Chama hicho iliyowaamsha Wananchi wote Tanzania
39 Reactions
90 Replies
5K Views
Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no...
6 Reactions
11 Replies
748 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mtaalamu wa Teknolojia ya Habari, Elias Mdao, leo Jumamosi tarehe 28 Juni 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la...
2 Reactions
8 Replies
847 Views
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi wa Azam TV, Timothy Chelula, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma, kupitia Chama...
1 Reactions
3 Replies
524 Views
Hii nchi kama unataka kuchukia watu bila sababu unaweza kufa kabla ya wakati. Hii nchi kama una akili timamu kabisa jidai huna utaishi kwa amani kabisa. Jipendekeze kwa sana na kuwalamba miguu...
14 Reactions
61 Replies
5K Views
Conclusion: Kuna watu wakitoweka na kufariki ni serikali imehusika, ila sio kila mtu akitoweka na kufariki katika mazingira tata ni serikali imehusika! Haya, tumewasikia. Tulisema siku nyingi...
22 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajamii forums wenzangu na wasalimu kwa jina la uhuru kamili wa Mtanganyika. Nichukue nafasi hii kuja kumchapa viboko Padre Kitima. Sababu kubwa kuu 1, kuona tunapoelekea kubaya...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Assalam alaykum Mie nimekuwa nafwatilia mtifuano wa wanaharakati wa mabadiliko haswa Chadema na jeshi la Polisi na vyombo vingine Huwa nashangaa sana CCM wanadhani kuwa mabadiliko...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa kweli, muunganiko wa viongozi wa kisiasa na wa kidini mara nyingi si wa bahati mbaya—ni wa kimkakati. Unalenga kudhibiti fikra, hisia, na nguvu ya watu kwa pamoja. Tukiitazama kwa jicho la...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa...
19 Reactions
91 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddy Kimanta amesema suala la udumavu linaweza kuwa chanzo cha kupata Viongozi ambao wanashindwa kufanya maamuzi. Amesema hayo wakati wa...
1 Reactions
5 Replies
842 Views
Back
Top Bottom