Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth...
13 Reactions
75 Replies
4K Views
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa...
29 Reactions
135 Replies
7K Views
CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje...
0 Reactions
7 Replies
365 Views
Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Umaskini wa Watanzania haukuletwa na Mungu. Umeletwa na CCM. Leo akina mama wakienda kujifungua wanaambiwa lete beseni, lete wembe, lete mpira, lete sindano. Walitakiwa wakivikute hospitali.”...
2 Reactions
0 Replies
210 Views
Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
Wakuu, https://www.youtube.com/watch?v=-JGia_qHgj8 Updates Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua...
1 Reactions
12 Replies
593 Views
Chombo hiki TANROAD kwa miaka kadhaa sasa kimekuwa kikichangia ukuaji wa uchumi, maendeleo ya watu na kurahisisha maisha yao kwa kutenda majukumu yao hata kama sio kwa 💯 % bali kwa kiasi kikubwa...
22 Reactions
157 Replies
10K Views
Katika game changers wa uchambuzi mitandaoni, huyu mwamba anakuja juu sana, anatupia mawe ya kufungua akili, hebu mfuatilie YouTube, hutojuta. Big up sana kwake. Hii ni YouTube channel yake
2 Reactions
7 Replies
406 Views
Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM, Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup...
0 Reactions
3 Replies
316 Views
kwa wale wenye access na emmanuel tv, chekini mh LOWASSA yupo live anapata neno la mungu kwa prophet TB JOSHUA.
0 Reactions
387 Replies
38K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, akizungumza Julai 8, 2025 na Jambo TV, Padri Kitima ameeleza kuhusu Viongozi kupenda kusifiwa na si kukosolewa...
3 Reactions
9 Replies
802 Views
Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
2 Reactions
49 Replies
2K Views
My Take Nafasi ya kwanza ni Uganda baada ya Kuipita Ethiopia. Bajeti ya Kilimo iliyoongezwa na Serikali ya Samia kutoka Bilioni 250 Hadi Trilioni 1.2 imeanza kuzaa matunda Kwa Tanzania kuzipiku...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Naomba kujua alipo huyu kijana aliyekuwa na uwezo wa kumjibu mwenyekiti kwenye vikao bila kupepesa,kijana wa mwisho kuwa na mvuto ndani ya uvccm sasahivi yupo wapi?
2 Reactions
22 Replies
10K Views
Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1. Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha...
2 Reactions
27 Replies
994 Views
Kuna namna moja ya ujinga ambao baadhi ya Watanzania wenzetu wanao - kupima ubora wa mtu kwa kutumia vigezo vya kifedha au kiuchumi. Utakuta mtu anapayuka kama mwendawazimu huyu kiongozi anafaa...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
(Deogratius Kisandu wakati ikipokea Kadi ya NCCR-Mageuzi. Kulia kwake ni Kaimu Katibu Mkuu Ndugu Faustin Sungura) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: SHUKRANI KWA KUTEULIWA Kwanza natoa...
1 Reactions
95 Replies
8K Views
Wakuu! Zoezi la Uchukuaji Fomu za kugombea nafasi ya Ubunge katika Majimbo Mkoani Geita limeanza, ambapo leo June 28, 2025 Mwambata kutokea katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom