Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
08 Julai 2025 Tanzania, Oman zinashinikiza kuwepo kwa makubaliano ya haraka ya kazi ili kuwalinda wafanyakazi wahamiaji Kurasimisha makubaliano na Oman kungeashiria hatua muhimu ya kuimarisha...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!. Kwamba anataka...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
"Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, chagua anaestahili, sikiliza sera zao. Na sasa dakikia za mwishomwisho watu wameanza kujipendekezapendekeza hapana. Mauaji ambayo yameendelea kusikika mpaka...
1 Reactions
4 Replies
673 Views
Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba...
3 Reactions
0 Replies
408 Views
Waziri mkuu hagombei tena na makamu wa Rais hagombei tena. Spika kaogopa mpaka kugawanya jimbo. Rais kaogopa mpaka kumfunga Lissu na kuwaletea zengwe Chadema ! Nini kimemsibu
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Vipi kama karipio kama hilo lingetolewa na Rais wetu kwa Jaji wa Mahakama kuu yetu? Nimekaa pale nyie NRNE 🐼
0 Reactions
11 Replies
466 Views
Nina mahaba mazito ya kulirudisha Jimbo la momba ikiwa chadema wataingia ulingoni nitasimama na kuomba kugombea ubunge na kuishika halmashauri nzima , bila CHADEMA hakuna momba mpya...
2 Reactions
0 Replies
273 Views
Habari Wakuu. Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM). Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio...
12 Reactions
69 Replies
2K Views
Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na...
19 Reactions
57 Replies
3K Views
Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa...
1 Reactions
72 Replies
3K Views
Utakuwa mradi wa fungua uchumi kanda ya Kagera....wa mizigo ya Uganda, Rwanda, Burundi to Dar es salaam Port by SGR
0 Reactions
2 Replies
290 Views
Kwa wataalamu wa mambo ya utawala msemaji mkuu wa baraza la Maaskofu katoliki ni nani? Katibu mkuu au Mwenyekiti? Sababu inashangaza kidogo .Makanisa mengine katibu mkuu huwa hawi msemaji mkuu...
3 Reactions
113 Replies
4K Views
Katika harakati zangu leo nilifika hadi stendi ya Tegeta Nyuki ni moja ya stendi kubwa sana lakini ni stendi ambayo imetelekezwa kwa muda sana bila kufanyiwa ujenzi hata kidogo. Lakini leo...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa mchakato wa kupata katiba mpya si jambo jepesi hususan kwa kipindi cha miezi mitatu iliyobakia kuelekea uchaguzi mkuu. "Si jambo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya Polisi kukaliwa kooni kuhusu Vitendo vyao viovu vya kuvunja watu miguu na kuwqpiga maringu ya Uti wa Mgongo, Sasa wamebadili Mbinu. Hii ni baada ya John Mnyika kuonesha Videos kutoka...
15 Reactions
66 Replies
4K Views
Viongozi na wanachama wa CHADEMA katika mikoa ya Kanda ya Nyasa na wananchi mbalimbali wamejitokeza katika Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya kwa ajili ya kusikiliza shauri la maombi ya mke...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT...
0 Reactions
15 Replies
789 Views
Nakumbuka Mwamposa alivyokuja Iringa baada ya rafiki yangu Dibo Kasesela kuwa ametumbuliwa ile Ibada yake ilisababisha shughuli zote zisimame Siku hiyo Nikaja kukutana tena na Ibada ya Mwamposa...
0 Reactions
11 Replies
512 Views
Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth...
13 Reactions
75 Replies
4K Views
Back
Top Bottom