Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Bi Victoria Mwanziva amekabidhi magurudumu (Matairi) kwa ajili ya gari ya Chama - CCM Wilaya ya Lindi Vijijini- katika kuunga mkono jitihada na kazi nzuri inayoendelea...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Angalia kesi kama hii iliyosimamisha shughuli za CHADEMA. Uhuni wa kisiasa mtupu. Kesi za kubumba ili kudhoofisha wapinzani wenye nia njema na nchi yao. Kesi ya Shujaa Lissu? Haitadhoofisha...
5 Reactions
1 Replies
316 Views
Vyombo vingi vya habari Hasa MAGAZETI mengi yameandika habari ya Kujiuzulu kwa Balozi Polepole ila kinachonishangaza ni jinsi walivyoandika habari hiyo Vyombo vingi vimeandika Balozi Polepole...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Wandugu, Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu. Wakati wa...
15 Reactions
136 Replies
30K Views
Habari ya Humphrey PolePole kujiuzuru ubalozi kwa style ya kumshushia tuhuma nzito rais Samia kwenye nyanja kuu tano (Mdodoro uliopitiliza kwenye Usalama wa kiraia, Demokrasia, Haki za binadamu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, ambaye hapo awali alitangaza kujiondoa CHADEMA kutokana na kutokubaliana na msimamo wa chama hicho kuchukua mrengo wa kususia...
0 Reactions
6 Replies
539 Views
Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema...
21 Reactions
127 Replies
8K Views
Hawa watu wa CCM wamekuwa na "ujinga" wa kupost vitu halafu wanafunga comments.
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Toka maktaba: November 26, 2014 Mlimani City, Dar es Salaam Hotuba ya karne ya Humphrey Herson Polepole iliyowainua watu Mlimani city 2014 Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani -...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Alianza yule spika wa mjengoni (Job) wengine wakadhani ni mzaha, sasa amekuja mzee-kijana wa Cuba (Mr. Slow) akapita mule mule. Wote hawakujali nafasi zao kisiasa wala ukubwa wa bosi wao...
48 Reactions
185 Replies
8K Views
Salaam! Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu. Baada ya Mh...
2 Reactions
13 Replies
777 Views
Ukiangalia safu ya watu wa CCM ambao wanaweza kuwa serious na uongozi wa Tanzania na hata mambo ya kifisadi, aliebaki labda ni Humprey Polepople. Sasa uwepo wake ndani ya Tanzania, na ukizingatia...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakuu Kumekuwepo maswali mengi kuhusu wingi wa waliojitikeza kuchukua fomu za kutia nia na ubunge na udiwani, kupitia Kipindi cha Mada Kuu - TBC kilichofanyika Julai 10, 2025 Mchambuzi wa Masuala...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na...
3 Reactions
2 Replies
410 Views
Tunajaribu kugombana na: 1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Haingewezekana tena kumbakiza ubalozini kama muwakilishi wa Tanzania huko ng'ambo. Pamoja na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma kwa anasa binafsi, kukengeuka na kushindwa kabisa...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Najua Mahakama ya Rudfani ni maoja ya mambo ya Muungano. Sasa mbona TANZLII hakuna jugments kutoak Court of Appeal?
0 Reactions
1 Replies
254 Views
https://youtu.be/mpNrmB_Qe6U?si=mbUaIlbrDNWvaiyY
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli . Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza. Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…