Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fedha za miradi ya maendeleo za TASAF ndani ya kata Hiyo, viongozi wamegawana wao kwa wao na kuendeleza miradi Binafsi na sio ile ya maendeleo, Wazee wa kata Hiyo wamepuuzwa na kunyimwa fedha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu jinsi ya kutatua tatizo la shirika la bima ya afya Tanzania NHIF kufilisika lakini je tuna taarifa za kutosha zinazoweza kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
JF wana Nimefanya uchunguzi wa kitafiti kujua nini hasa malalamiko ya kila wakati ya watu kuiba miundombinu nikakuta kwamba kasi ya kupanda kwa nondo ndio sababu kuu watu kuiba nyaya za TANESCO...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Salaam, Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa? Jana nimeona Mh...
11 Reactions
226 Replies
22K Views
Tayari Chama Cha Mapinduzi kimepitisha majina ya wanachama wake watakaopigiwa kura za maoni na kamati ya wabunge wa CCM kwaajili Ubunge wa Africa mashariki (EALA). Mchakato huu tayari umegubikwa...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
BARUA YA WAZI KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Mh Rais Pole Kwa majukumu, Mimi naitwa Emanuel Magoya Lucumay ni mkazi wa jimbo la Hai, nimelazimika kuandika barua hii kuelezea kilio cha familia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya jitihada na kazi kubwa ya serikali ya kufanya tathmini na kuanza hatua za kurudisha mali za serikali ikiwemo Hospital ya Dar Group kupitia hotuba ya bajeti ya fedha 2021/22 aliyoitoa...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo. Haya yafuatayo: 1. Haifuati...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, tangu semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk...
18 Reactions
155 Replies
15K Views
Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Anonymous
Habari watanzania na wana CCM, Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma...
12 Reactions
64 Replies
8K Views
Kwa siku za hivi karibuni, hospital ya Dar Group (T.O.H.S) imekuwa na mgogoro na wafanyakazi wake, hali inayopelekea mzoroto wa huduma za afya katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Tazara ikiwa...
24 Reactions
140 Replies
27K Views
Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama. Kwa sababu hakusema kuwa fedha...
29 Reactions
75 Replies
7K Views
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi...
73 Reactions
786 Replies
136K Views
Back
Top Bottom