Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lugha pekee watakayoielewa ccm ni ile ya Octoba 29. Lugha iliyozungumzwa na watanzania siku ya uchaguzi mkuu octoba 29/2025 ndiyo lugha pekee wanayoielewa CCM hasa CCM mtandao. 1. Kwanza kususia...
19 Reactions
60 Replies
928 Views
  • Redirect
Amekuwa akipambana sana kumpambania Rais. Lakini ni kama amedharaulika tu. Zinatoka nafasi inakuwa kama hawamwoni. Tatizo ni nini? Au ni sababu yeye ni Musukuma? Siyo haki. Miaka mingi...
9 Reactions
Replies
Views
Habari za jioni wakuu.. Kama kichwa cha habari kinavyojionesha mimi naona hii miaka mitano imemtosha kabisa raisi wetu Mh.JOHN POMBE MAGUFULI na ningependa MAMA SAMIA SULUHU apokee kijiti cha...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
  • Featured
Kipekee nitamkumbuka kuwa ndiye Rais wa kwanza Tanzania kujiapisha kwenye Barracks za kijeshi. Ni Rais wa kwanza Tanzania kuwekwa kwenye group linalowania tuzo ya Kiongozi Jeuri wa Mwaka, Tyrant...
53 Reactions
148 Replies
3K Views
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha...
1 Reactions
0 Replies
123 Views
https://www.youtube.com/watch?v=jfQlh6d74a0 Katika taarifa yao wameonyesha Chadema wapo tayari kukaa mezani. Lakini katika majibu yake Lyenda ameeleza vizuri kabisa msimamo wa Chadema. Ila huyu...
1 Reactions
0 Replies
107 Views
Naomba niulize wajuvi na wajuzi wa mambo ni kweli wanawake wana huruma sana kimaumbile sasa swali langu Nyerere hakumnyonga bibi Titi Mohamed; Je, awamu hii itamnyonga Tundu Lissu mkatoliki? Tena...
1 Reactions
14 Replies
539 Views
  • Featured
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewashangaa na kuwazodoa wanaodai Kuna maisha magumu wakati Kuna Utitiri wa magari Namba E Yamejaa Barabarani,Harusi na Bar Zinajaza na Benki Kuna Foleni ya kutoa...
12 Reactions
148 Replies
12K Views
GT, Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?. =========== WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji...
19 Reactions
94 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha...
1 Reactions
0 Replies
82 Views
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma...
6 Reactions
82 Replies
2K Views
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi Mwaka 1992, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kushika hatamu za uongozi wa Dola ya Tanzania. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, chama hicho kimeendelea...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Wazungu hawakuanza leo kuzitaka rasilimali zetu. Wakati wa kutafuta uhuru kuna watu wetu walitumiwa na wakoloni kuzuia tusipate uhuru. Hata baada ya kupata uhuru kuna watu walitumiwa na wakoloni...
2 Reactions
23 Replies
341 Views
Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi...
5 Reactions
3 Replies
197 Views
Uchaguzi wa Oktoba 2025 umechangia kuibua mgawanyiko mkubwa kati ya viongozi na wananchi, ukuta wa hofu, na kutokuaminiana. Hiyo ni kutokana na maandamano ya baadhi ya wananchi walioupinga...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
2 Reactions
42 Replies
938 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…