Je, kuna siku Zanzibar itajitenga kisa …?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,644
30,007
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao

Britanicca
 
Nami inabidi niulize swali kama hilo hilo, ila kwa upande wa Tanganyika: Je, kuna siku Tanganyika itajitenga?
Kwa nini swali lisiwe hilo.
 
Mwenyezi Mungu aingillie tu kati ili kila nchi ishike njia yake. Kiukweli huu Muungano unainufaisha ccm na Wazanzibari tu.

Wazanzibari, jitengeni basi hata kesho ili na sisi tuindeleze Taanganyika yetu. Kipi kinachosababisha mshindwe kujitoa wakati huu wa Watawala wote wawili kutoka upande wenu? Huenda mkijitoa kwenye huu Muungano, na ccm nayo itatoka madarakani. Tuko chini ya miguu yenu! 🧎
 
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili?
Hakuna fyoko fyoko,
Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni
Hiyo siku haipo
Britanicca
Mkuu britanicca , hakuna siku Zanzibar itajitenga kwasababu Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.

Type ya muungano wetu ni very unique, kwa upande mmoja ni fused union, kwa nchi mbili kufa na kuzaliwa nchi moja. Nchi mbili hizo haziwezi kukufuliwa, they are dead and gone, hivyo kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, kuivunja ni uhaini!, ni muungano for life na hakuna room ya kuuvunja!.

Kwa upande wa pili ndani ya muungano, muungano wetu ni federation ya nchi mbili, serikali mbili, marais wawili, mabunge mawili. Nchi hizi mbili, moja ni dola na nyingine sio dola, nchi ambayo sio dola haiwezi kujitenga kwasababu inaitegemea dola!, hivyo muungano wetu upo sana na tutaulinda kwa gharama yoyote, na ndio maana kwenye kila uchaguzi wa upande ule kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi kwa kuhofia hatma ya muungano!. Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano? hivyo lazima fulani ashinde!.

P
 
Kwa nini utamu wa muungano wauone CCM pekee hadi kuzuia kumtangaza mtu wa upande ule kama mshindi!!! Huoni hii ni hujuma kwa watanganyika kuwauunganisha na kitu kisicho na manufaa kwao
 
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao

Britanicca
Wao waende wamchukue na Rais wao sie madeni tutalipa wenyewe hatutaki shobo
 
Kila kitu kinawezekana
Naona kama baada ya miaka na miaka wakawa vijana wanacheka na kusema hivi waliwaza nini kuwa nchi moja?

Inawezekana na wala siwezi kushangaa
Hata Yemen walikuwa wamoja wakaachana, wakarudiana na wakaachana tena yaani talaka mara mbili
 
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji alowatangulia alokwepesha yaende kwao

Britanicca
Hivi wewe huwezi kuishi bila ya kuungana na Zanzibar? Muungano umefanywa na watu na watu hao hao wakiamua vyenginevyo kuna tatizo gani?
 
Hakuna fyoko fyoko,

Hiyo siku haipo

Mkuu britanicca , hakuna siku Zanzibar itajitenga kwasababu Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.

Type ya muungano wetu ni very unique, kwa upande mmoja ni fused union, kwa nchi mbili kufa na kuzaliwa nchi moja. Nchi mbili hizo haziwezi kukufuliwa, they are dead and gone, hivyo kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, kuivunja ni uhaini!, ni muungano for life na hakuna room ya kuuvunja!.

Kwa upande wa pili ndani ya muungano, muungano wetu ni federation ya nchi mbili, serikali mbili, marais wawili, mabunge mawili. Nchi hizi mbili, moja ni dola na nyingine sio dola, nchi ambayo sio dola haiwezi kujitenga kwasababu inaitegemea dola!, hivyo muungano wetu upo sana na tutaulinda kwa gharama yoyote, na ndio maana kwenye kila uchaguzi wa upande ule kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi kwa kuhofia hatma ya muungano!. Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano? hivyo lazima fulani ashinde!.

P
Wewe sibure una tatizo kichwani ikija issue ya ZANZIBAR daima unakuwa unajifyatu IPO siku utakufa kihoro wewe
Hili haliepukiki rejea Tume mbali mbali zilizoindwa kuhusu sulihisho la Muungano na zote zilikuja na Wazo la Serikali tatu
Hata hawo wenzako G55 walikuja kihivyo hivyo

Mayala Zanzibar itabaki kuwa Mali ya wazanzibar tukiwa hai au tukiwa tumekufa kuna siku Zanzibar itarudi Kwa wazanzibar
 
Back
Top Bottom