The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,111
- 21,982
GT,
Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.
===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.
Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.
Pia soma ~ Wizara ya Ardhi: Tunashirikia na TAMISEMI kuchunguza mgogoro wa ardhi Katoro, tutatoa taarifa rasmi